Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Paragraph #2 umejijibu mwenyewe kwa ulichoandika pale juu,asili yetu hauruhusiwi kuzungumzia au kutegemea hela ya mtu.
#1 ni asili ya kwenu,wengine hatuko hivyo hiyo #3 hakuna aliyekataa mtu ku-fake ila ajue ni ujinga ku-fake huku umri ukisogea,ni ujinga upo above 40 unaendelea ku-fake maisha......Nasisitiza ni ujinga!!!
hunielewi, ..I hope umejifunza kutoangalia watu kwa standards zako… by the way kuna ma hoteli siku hizi.. bye.