Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri,hata kuweka curtains tu kumemshinda ?Kashindwa kuendeleza kwao ndo huyu anataka ubunge ????Au anataka ubunge ili anufaike ?Aibu hii.Maisha ya social media bwana........

Mtandaoni Kila mtu Tajiri Njoo kwenye maisha halisi Ndo utaona Mengi.
 
Kanuni number moja; kujenga kijijini sio kanuni/standard formular kila mtu aifate.

Kanuni number mbili; una hati miliki na chako,cha mwenzio sio chako...namaanisha kinachoingia kwenye mfuko wa mwenzio usishoboke nacho....

Kanuni number tatu; Maisha ya Insta ku fake sio kitu cha ajabu...mwacheni kaka wa watu amalize msiba wake kwa Amani...
Kwa kweli tumsubiri amalize msiba alafu nasaha ziendelee
 
Post mapazia ya nyumbani kwako mkuu, na sisi wakina tale wa Jf tupate chachu
Mimi sio celebrity useme na post ni life lao ig linafanya watu wa judge,hata wewe ukiwa maarufu utasemwa tu Hadi suruali utakayovaa.
Mimi pazia langu la buku ten mkuu, ni raia wakawaida kabisa na sio ka yeye manager.
 
Nyinyi mnaolazimisha watu waishi kulingana na standards zenu , mnatumia akili gani ?
Nani kalazimisha Sasa mitazamo haiwezi kuwa sawa kila mtu na perception yake, ka wewe usivoamini ujenzi kijijini na wengine wanaamini kujenga muhimu, that's life
 
Mimi sio celebrity useme na post ni life lao ig linafanya watu wa judge,hata wewe ukiwa maarufu utasemwa tu Hadi suruali utakayovaa.
Mimi pazia langu la buku ten mkuu, ni raia wakawaida kabisa na sio ka yeye manager.
Si kweli kwamba wanao post maisha yao mitandaoni wote ni celebrities, wengine ni nobodies ila wana post.
 
Nani kalazimisha Sasa mitazamo haiwezi kuwa sawa kila mtu na perception yake, ka wewe usivoamini ujenzi kijijini na wengine wanaamini kujenga muhimu, that's life
Bado hujanielewa my collegemate. Huyo niliyemuuliza anasema wanaokataa kujenga vijijini wanatumia akili gani

Na mimi nimemuuliza wanaotaka watu waishi kulingana na mitazamo yao wanatumia akili gani ?

Upo hapo ?
 
Kanuni number moja; kujenga kijijini sio kanuni/standard formular kila mtu aifate.

Kanuni number mbili; una hati miliki na chako,cha mwenzio sio chako...namaanisha kinachoingia kwenye mfuko wa mwenzio usishoboke nacho....

Kanuni number tatu; Maisha ya Insta ku fake sio kitu cha ajabu...mwacheni kaka wa watu amalize msiba wake kwa Amani...

Paragraph #2 umejijibu mwenyewe kwa ulichoandika pale juu,asili yetu hauruhusiwi kuzungumzia au kutegemea hela ya mtu.

#1 ni asili ya kwenu,wengine hatuko hivyo hiyo #3 hakuna aliyekataa mtu ku-fake ila ajue ni ujinga ku-fake huku umri ukisogea,ni ujinga upo above 40 unaendelea ku-fake maisha......Nasisitiza ni ujinga!!!
 
Bado hujanielewa my collegemate. Huyo niliyemuuliza anasema wanaokataa kujenga vijijini wanatumia akili gani

Na mimi nimemuuliza wanaotaka watu waishi kulingana na mitazamo yao wanatumia akili gani ?

Upo hapo ?
Nimekuelewa Sana Ila ana logic behind watu wakitoka kijijini kwao hupatelekeza Kama wao walipata neema kwanini wasiwe mfano kubadilisha kwao Charity begins at home bwana sehemu nyingine Zina wasomi wengi Ila vijijini kwao hata vyoo hawajengi. Naamini tuwe active agent wa Hadi huko vijijini bwana
 
Sasa ukiwa maarufu lazima kila Jambo lako limulikwe Mimi naweza post chochote na isiwe shida tofauti na akipost mfano Zari kitu kile kile ninacho ki post
Pia inategemea ulichopost ni kwa namna gani kinagusa hisia za watu. Kuwa celeb peke yao sio issue

Jaribu kupost picha ukiwa na kitop halafu chini empty set, uone kama wabongo hawajakupa umaarufu kama walivyompa amber ruti
 
Nimekuelewa Sana Ila ana logic behind watu wakitoka kijijini kwao hupatelekeza Kama wao walipata neema kwanini wasiwe mfano kubadilisha kwao Charity begins at home bwana sehemu nyingine Zina wasomi wengi Ila vijijini kwao hata vyoo hawajengi. Naamini tuwe active agent wa Hadi huko vijijini bwana
Kumbuka tunatoka kwenye jamii tofauti tofauti, kuna jamii ambazo miaka na miaka zina utamaduni wa kujenga maeneo yao ya asili. Hawa ndio wakifa lazima wakazikwe huko vijijini kwao.

Halafu kuna wale ambao popote kambi, sasa mtu ambaye alizoea kuona wakubwa zake ndugu jamaa na marafiki wanajenga kwao unamfananisha vipi na yule ambaye kwenye jamii atokayo hawana utaratibu huo ?
 
Inatosha kwa kijijini inategemea anakaa nani hapo, mnataka ajenge vila ambalo halina matumizi? Maisha ya ku fake tutaacha lini? Uache kujenga mjini uweke investment kubwa huko ili iweje! Hiyo ya kuweka alama kwenu inatosha.
 
Back
Top Bottom