Alivyoongea vmoney mliona mjinga nadhani majibu mnayaona misiba inaumbuawatu maarufu wanambwe mbwe tu za kwenye mitandao pamba kali,jina kubwa, ila kiukweli hawana pesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alivyoongea vmoney mliona mjinga nadhani majibu mnayaona misiba inaumbuawatu maarufu wanambwe mbwe tu za kwenye mitandao pamba kali,jina kubwa, ila kiukweli hawana pesa.
Ujue issue sio priorities...hio hewa safi unayoitaka sasa hivi,haikuwepo kabla???..nenda kapumzike unakotaka..ila kujenga inabaki choice ya mtu na uwezo wake,sio kanuni/formular kila mtu aifate….ningewaelewa kama mko concerned na familia zenu mlizoziacha kule….ila mko concerned na 'hewa' safi as if waliojenga wana hewa nyingine special???!!!
Aibu sana unasema unanyumba 5 ila nyumba ya kwenu haieleweki ni aibu kubwa sana mimi nilijua ulivokuwa unatunishiana misuli na ruge basi umejiwekeza kumbe hamna kitu??
Maana dar kwenye unahisi nyumba ya kupanga mikocheniView attachment 1492363View attachment 1492364View attachment 1492363View attachment 1492364View attachment 1492363View attachment 1492364View attachment 1492363View attachment 1492364
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kanichekesha sana hapo madirishan yaan had kipande cha bendera ya CCM, afanyee akakarabati kwao,
Mwache kwanza amalize msiba ndo uje kumsema ujui uchungu wa kufiwa na mke mkuu
tena hapo imepigwa puchi fasta-fasta baada ya msiba
Sio kweli
Baadhi ya nyumba hazina uimara kukulia miaka ya 50 na leo tuwapeleke wajukuu wakaishi humo na ziwe imara
pia size..familia ishakua kubwa hapatoshi..walikaa say watoto 12...sasa wote wamekuwa wakubwa wameoa na wana watoto kuanzia wawili kila mtu
Mtatosha?
main house inabaki ila ili kukidhi mahitaji ya wakwe na wajukuu ndo inalazimika kuongeza nyumba zingine...purely basic need ya 'shelter'
Ujue issue sio priorities
issue ni maisha ya mfiwa mitandaoni...yuko perceived ana 'hadhi' flani...hivyo wadau hawakutarajia kwa maisha yale kwao pako hivi
Mtu wa kawaida anaejulikana hana uwezo hio ni nyumba ambayo hatokua 'judged' kuhusu viwango vyake
tunampa Poleh sana
Ila tuchukue somo la kuboresha maisha yetu ktk uhalisia tusiishie mitandaoni tu
Mapazia tu yamemshinda huyo TaleDuuuh.... kweli nimeamini ni wachaga pekee ndo tunapenda nyumbani. Hii ni aibu aisee.
Hivi mtu kama Tale amekosa milioni 50 kuwa na nyumba ya heshima kijijini?
We are not bothered...rather mhusika anakua kaumbuka kiasi fulani.,Mnhhhh sasa imekua sio tena nyumba bali Maisha ya Instagram??, huko wangapi wana fake maisha..?? wachache sana wanaishi real life kule insta..ni wazi mtu unakua tempted kuweka posts fake kama majority na wao wanaweka fake.....again ni Maisha ya mtu aliyochagua,,,, hukupenda fake life huko insta ukaweka real life,mwenzako akachagua kuweka fake...why are you bothered na fake life ya mtu...
...hio hewa safi unayoitaka sasa hivi,haikuwepo kabla???..nenda kapumzike unakotaka..ila kujenga inabaki choice ya mtu na uwezo wake,sio kanuni/formular kila mtu aifate….ningewaelewa kama mko concerned na familia zenu mlizoziacha kule….ila mko concerned na 'hewa' safi as if waliojenga wana hewa nyingine special???!!!
Mkuu kibongo bongo heshima nyumba hafu watu wasipojenga huko kijijini miji itakua lini?Sisi tusio na nyumba Bongo tuna tabu sana. Wengine hawana nyumba lakini wana pesa benki. Wana gari nzuri na nyumba nzuri ya kupanga maeneo mazuri ya mji. Kwani kuna tatizo gani? Mbona watu ambao hajasoma huwa wanashabikia nyumba hivi? Tangu niko mdogo kijijini, wasomi walipokuwa wanatangulia mbele ya haki na kuja kuzikwa kijijini, mbumbumbu wa kijijini walikuwa wanawaongea vibaya sana eti kwa sababu hawakujenga nyumba kwao! Nimeishi nje kwenye nchi zilizoendelea, ambako watu wana pesa za kutupa, wala watu hawashobokei nyumba kiasi hiki. Watu wanaweka mapesa benki. Wakitangulia, wanaacha pesa kwa familia.
Hawa watu wanaopinga kujenga vijijini kwetu sijui wanatumia akili gani??..Ndo maana nikakuuliza nikitaka kupumzika nikapumzike wapi?
Mf;mimi naishi Dar,kwetu Kilimanjaro unataka nikitaka kupumzika niende lodge Masaki au Hotel Zanzibar/Dubai nikapumzike huko?ni wakati gani nitakutana na niliopotezana nao,nitajuaje mapungufu ya nilikotoka kama sikwenda kupaona?utulivu,hewa safi ni wapi nitakula vitu vizuri vya asili kama sijarudi kijijini?
Jiulize sikujenga kule hayo yote nitayafanya kwa style gani?kumbuka ni aibu mtu unajulikana unatafuta pesa kisha uende kwenu ukamgongee ndugu yako akukaribishe pa kulala wakati wewe sehemu ya kujenga hukunyimwa unayo!wewe unaona sawa kutokana na may be umetokana na jamii isiyojali kwao na umeolewa na jamii isiyojali kwao vile vile so unaona maisha yenu ni ya mjini tu ndo maana sijakulaumu kwa hilo.
Kanuni ya binadamu yeyote anayejitambua na aliye na akili hai kichwani lazima awe na sehemu nzuri ya kulala,take it from me,awe maskini asiwe maskini atatamani kupata mazingira mazuri ya kupumzika.
Nakotokea vijana bodaboda wanamiliki nyumba za maana PhD holder wa mijini hawazimiliki kutokana na kuwa na mentalities kama zako,hewa safi ilikuwepo that's why nai-miss naifuata sasa kama kwenu kuna vumbi sana ni wewe.tuwe concerned na familia zetu kivipi?uzae watoto uwe mvivu kufanya kazi au ulewe hovyo utegemee ndugu kukutunzia familia yako how?
Kwetu hakuna hizo favor,kanuni ni “ISHI KWA AKILI ULIYOPEWA KUKABILIANA NA MAZINGIRA YAKO”,utasaidiwa kwa sababu maalumu siyo kwa kujilegeza,unadhani tungekuwa tumedekezwa kama unavyotaka wewe kizazi hiki kingekuwa na mwamko kiliokuwa nao?nikuache hakuna mwanamke mwenye uchungu wa kuendeleza kwao navyobishana na wewe hapa wewe siyo mtu sahihi alitakiwa awe kaka yako au mdogo wako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miaka yote humu jf huwa naona picha hizo hizo, siku hizi watu hawajengi tena nyumba mpya au viwanja vya kujenga vimeisha ?
Mentality yako ni mtu fulani mshamba mshamba, mwenye kuhis utajiri wa ndugu ni wake pia, wenye nacho, huwa hawana janja janja ya kufanya show off aimlessly.Nani kakwambia Mimi sina nyumba kijijin kwetu? [emoji23][emoji23]
Hapa jf hatufahamiani kiuhalisia.
Nitafe inbox nikuonyeshe
Halafu watu hujenga nyumba nyumbani kusisahaulike na siku ukifariki lazima uingizwe kwanza ndani, kimila kwetu lazima mtu ajenge nyumba ili siku ya mwisho usizalilikeNdo maana nikakuuliza nikitaka kupumzika nikapumzike wapi?
Mf;mimi naishi Dar,kwetu Kilimanjaro unataka nikitaka kupumzika niende lodge Masaki au Hotel Zanzibar/Dubai nikapumzike huko?ni wakati gani nitakutana na niliopotezana nao,nitajuaje mapungufu ya nilikotoka kama sikwenda kupaona?utulivu,hewa safi ni wapi nitakula vitu vizuri vya asili kama sijarudi kijijini?
Jiulize sikujenga kule hayo yote nitayafanya kwa style gani?kumbuka ni aibu mtu unajulikana unatafuta pesa kisha uende kwenu ukamgongee ndugu yako akukaribishe pa kulala wakati wewe sehemu ya kujenga hukunyimwa unayo!wewe unaona sawa kutokana na may be umetokana na jamii isiyojali kwao na umeolewa na jamii isiyojali kwao vile vile so unaona maisha yenu ni ya mjini tu ndo maana sijakulaumu kwa hilo.
Nyinyi mnaolazimisha watu waishi kulingana na standards zenu , mnatumia akili gani ?Hawa watu wanaopinga kujenga vijijini kwetu sijui wanatumia akili gani??..
Post mapazia ya nyumbani kwako mkuu, na sisi wakina tale wa Jf tupate chachuMapazia tu yamemshinda huyo Tale