Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri, hata kuweka curtains tu kumemshinda? Kashindwa kuendeleza kwao ndio huyu anataka ubunge? Au anataka ubunge ili anufaike ? Aibu hii. Maisha ya social media bwana........
Usanii on everything...
 
Maisha ya hawa artist nyuma ya camera ni ovyo tupu..Kuna mmoja namjua ni jirani yangu somewhere in Dsm alipata pancha na Raum akawa amekosa back up ya another gari nikamuona amechuchumaa anahangaika kupiga simu lakini mkute viwanja vya starehe au mbele ya Camera utasikia hii video imegharimu 60mil...huku anaishi nyumba ya kupanga na gari la 8.2mil....hahahahhaaa najua ukipita hapa utasoma itabaki siri yako jipangeni acheni mba mba mba

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kiukwel mtu anaesema nyumba sio kitu cha msingi kumiliki basi ajitafakali mara mbili.
Ok utasema kupanga,sawa hivi ukimiliki nyumba yako hamna kusumbuliwa kodi shida ipo wapi?
Pesa zinakuja nakuondoka leo hii mfano huna pesa ya kulipa kodi utaishije?
Wale wote wanaosemaga kujenga sio swala la muhimu siku zote maisha yao yanaishiaga pabaya sababu kupitia ilo unamuona mtu njisi uelewa wake ulivyo mdogo.

Hahaa napendwa nyumba nzuri jamn acha vile za kujenga kwa kwa shida wakati wa kuanza maisha.
No ile umetuliza akili ushawekeza vya kutosha unasema nyumba ninayojenga ni ya kuishi hadi pale mungu atakapo nikuchukua.
Ok nyumba mfano ile jumba la Casper nyoveste lilivyo scape ya kutosha afu ndani panakua kama nyumba ya psquare mzee.

Garage unamepark zako Range rover autobigraph 2018, Bmw 6 latest,Land cruiser V8 2019 plus your wife dream cars

Hahaaa mungu nipe umri mrefu nitimize ndoto zangu.
 
Hii wiki sidhani kama Tale atapata usingizi kuanzia kufiwa na mke..Sasa habari ya nyumba hadi mapazia.
Nimesoma kuanzia page 1, ni full burudani ila kuna ya kufundisha na kufikirisha vile vile.
 
Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri, hata kuweka curtains tu kumemshinda? Kashindwa kuendeleza kwao ndio huyu anataka ubunge? Au anataka ubunge ili anufaike ? Aibu hii. Maisha ya social media bwana........
Unavuta bangi sio Siri,sasa ubunge ma maisha ya mtu wapi na wapi,au haujui maana ya ubunge..?
 
Nilivoona tu hivo vitambaa huko dirishani Nilishika mdomo!
Walishindwa kutanguliza watu watoke hata na cartens mjini wakaweke dirishani kweli?

Kwa hadhi ya Babu Tale hii ni Aibuuu!

Wanakaa kuongelea millions of money kwenye media mara shoo hii tumeingiza million kadhaa shoo hii tumeingiza million kadhaaa kumbe hakuna Anachofaidika!

Meneja wa dimond msanii anaeingiza pesa ndefu East Afrika Anashindwaje kujenga nyumbani, Alikua hajui kwamba siku likimkuta janga lazima watu watie timu kwao?
Hakujifunza kwenye misiba ya wenzake,.. hakuona walivotengeneza kwao

Ameshindwa hadi na masogange Alikua mdangaji tu lakini kwao Alipatengeneza!

Eti ndo Alikua Anashindana na Jasiri kibiashara!
Ndo maana jamaa aliamua kuachana nao Alishajua hawa ni watu wa maneno maneno tu na show off lakini hawana lolote!

Aisee maceleb wajifunze hii ni Aibu ya mwaka!
Kweli Kabisa
 
Mtafutaji hachoki, Ungekuwa unayajua maisha ya hawa wasanii usingepoteza muda wako hata kuandika hiyo comment yako.

Wasanii wanaishi maisha ya kawaida sana kama sisi raia wa kawaida tu. Kuna wasanii nafahamiana nao kwa kuishi sehemu moja ninajua maisha yao kiuhalisia ila huwa nikiona wanayopost Instagram nabaki kusema hiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom