Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toto[emoji7][emoji7]Hii wiki huyu bwana Tale atakoma.
Hivi mbona wametumia jeneza Kama la kikristu? Mke wake alkua mkristu?tena hapo imepigwa puchi fasta-fasta baada ya msiba
Na Mimi nimeuliza ama mkewe alkua mkristu?
Huyu jamaa,si anamkwanja mrefu!inakuaje kijumba cha hovyo kama hiki?!Aibu sana unasema unanyumba 5 ila nyumba ya kwenu haieleweki ni aibu kubwa sana mimi nilijua ulivokuwa unatunishiana misuli na ruge basi umejiwekeza kumbe hamna kitu??
Maana dar kwenye unahisi nyumba ya kupanga mikocheniView attachment 1492363View attachment 1492364View attachment 1492363View attachment 1492364View attachment 1492363View attachment 1492364View attachment 1492363View attachment 1492364
Alafu sikunoticeHivi mbona wametumia jeneza Kama la kikristu? Mke wake alkua mkristu?
Ni kweli la kikristo, walitumia kusitiri mwili of course walikuwa wanausafirisha, ila hawajazika na jeneza.Na Mimi nimeuliza ama mkewe alkua mkristu?
Kusoma ni kuelewa, ukiona kitu hukielewi basi tambua haujaandikiwa wewe.
Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri, hata kuweka curtains tu kumemshinda? Kashindwa kuendeleza kwao ndio huyu anataka ubunge? Au anataka ubunge ili anufaike ? Aibu hii. Maisha ya social media bwana........
Utakuta hawa hata huko vijijini kwao hawaendi hadi yawafike,hii aibu sana kwa wanaume wa Dar,unaishi kifahari mjini kumbe kwenu wazazi wako wanaishi kilofa,hata pazia hakuna?Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri, hata kuweka curtains tu kumemshinda? Kashindwa kuendeleza kwao ndio huyu anataka ubunge? Au anataka ubunge ili anufaike ? Aibu hii. Maisha ya social media bwana........
Hapana hapo hapo hawakawii kusahau,mtu ukisemwa ukiwa na uchungu ndio siku au wakati mwingine utakumbuka.Mwache kwanza amalize msiba ndio uje kumsema hujui uchungu wa kufiwa na mke mkuu
Mkuu acha kudanganya huko nje sote tumeishi sana,kifupi ni kuwa nje wanaoweza kumiliki na kujenga nyumba ni matajiri asilimia kubwa wanaishi ''NHC''wengine huita nyumba za municipal na majina mengi,huko majuu ni matajiri tu ndio wanamiliki ardhi kwa hiyo sio kweli kuwa watu wa nje hawashobokei nyumba na ndio maana wakija huku kwenye nchi masikini wanaishi na kupanga nyumba zinazojitegemea ila wajinafasi tofauti na huko kwao.Sisi tusio na nyumba Bongo tuna tabu sana. Wengine hawana nyumba lakini wana pesa benki. Wana gari nzuri na nyumba nzuri ya kupanga maeneo mazuri ya mji. Kwani kuna tatizo gani? Mbona watu ambao hajasoma huwa wanashabikia nyumba hivi? Tangu niko mdogo kijijini, wasomi walipokuwa wanatangulia mbele ya haki na kuja kuzikwa kijijini, mbumbumbu wa kijijini walikuwa wanawaongea vibaya sana eti kwa sababu hawakujenga nyumba kwao! Nimeishi nje kwenye nchi zilizoendelea, ambako watu wana pesa za kutupa, wala watu hawashobokei nyumba kiasi hiki. Watu wanaweka mapesa benki. Wakitangulia, wanaacha pesa kwa familia.
Huyo ni muongo tu sijui nje ya nchi zipi, huko ni matajiri tu ndio wanamiliki majumba na ardhi mwenzangu mimi utaishia kwenye apartment mbovu za vyumba viwili kwenye ghorofa la watu 500.Mmmmh.. ni wapi hapo nje ya nchi watu hawathamini kumiliki nyumba?
Tena nje ya nchi, watu ndo wanakuwaga na dream za ku own nyumba (real estate), sema shida ni kwamba kumiliki nyumba ni gharama sana ndo mana wengi wanaishia kupanga mpaka wanakufa.
Sioni kama ni akili kuwa na mihela mingi kwenye account halafu usiwe na nyumba, ni kukosa akili.. pesa hii hii ambayo ikitokea inflation inakuwa haina tofauti na makaratasi?
Mtu yoyote mwenye akili popote pale lazima uwaze kumiliki nyumba, at some point in your life... Hakuna ufahari wa kutokuwa na nyumba nzuri.
Refere basic needs
- Food
- Shelter (Housing)
- Cloth
Hivi ndo vitu vitakupa heshima duniani.. How you eat (become healthy), Where you live (Good House), what you wear (Good Clothes).. sijui kama umenisoma mkuu
Mkuu hivi umewahi kulala nyumba ambayo ina panya?cha muhimu usingizi unapatikana🤣, urembo wa nyumba ni mbwembwe tu
Ni kweli mkuu, nchi kama marekani kumiliki nyumba si kitu kidogo, na wakati mwingine kama umechukua mkopo kwa ajili ya nyumba utakatwa karibia miaka 40 au 50 ndio deni liishe,Huyo ni muongo tu sijui nje ya nchi zipi, huko ni matajiri tu ndio wanamiliki majumba na ardhi mwenzangu mimi utaishia kwenye apartment mbovu za vyumba viwili kwenye ghorofa la watu 500.
Hapo ni nyumbani kwao mwanamke (Ukweni kwa Tale)Aibu sana unasema unanyumba 5 ila nyumba ya kwenu haieleweki ni aibu kubwa sana mimi nilijua ulivokuwa unatunishiana misuli na ruge basi umejiwekeza kumbe hamna kitu??
Maana dar kwenye unahisi nyumba ya kupanga mikocheniView attachment 1492363View attachment 1492364View attachment 1492363View attachment 1492364View attachment 1492363View attachment 1492364View attachment 1492363View attachment 1492364