Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

Watz tuna akili sometime ashakum... hv nyie huko kwenu mmejenga nini!?
 
Wanafeki life sana Hawa watu kila siku wanakuja kuniazima nguo na gari wakatolee shooting.
 
Mwache kwanza amalize msiba ndio uje kumsema hujui uchungu wa kufiwa na mke mkuu

Uchungu kweli? Kwani mke ni mmoja basi? Jamaa si mfano wa DAS wa kule Kisar....
 
M Mkuu kajenge kwen achq kujitetea vitu vizivyo na maana,hujui hata ukifa ukiwa na nyumba unaacha legacy fln iv kwa jamii?ss gari hilo ukifa ndo watt uliowaacha watalalia au?
 
K Kama kuna ambaye hajakuelewa akufuate pm kabxa,yawezkana wing wa waty hapa hajaelewa ss afanye kukufuata prvt kabx, maana umeweka nondo namifano ya kutosha
 
K
Babu Tale nimjinga sana ,Anamtukana Fid q kumbe na yeye chostiki


Watu wenye pesa za ukweli niwanasiasa tu.km Mbowe , Magufuli , Ndugai. Sugu
Kabxaa mkuu na ndo maana ss iv wameshtukia deal kila msanii anaimba nyimbo za kupongeza ili awez rushiwa japo kipande cha mfupa
 
Sasa watu mnasema akajenge kwao? Na nyumba ya watoto wake mtamjengea nyie? Maisha yenyewe ya mjini haya magumu sana ada ya mtoto si chini ya million moja nusu na hii za kawaida, kodi mjini nyumba walau ya afadhali laki 4 kwa mwezi.

Achilia matumizi mengine ya kila siku.

Yeye akijenga nyumba ya watoto wake inatosha.

Kama wazazi wake nyumba mbovu hilo ni tatizo la wazazi na familia nzima si la Tale.

Watanzania tunapenda kubebeshana lawama zisizo na msingi.
 
Watoto na mama yao nawaachia billions ktk bank. Kama nyumba itakuwa kipaumbele chao watanunua juma hilo hilo ninalozikwa.
M
Mkuu kajenge kwen achq kujitetea vitu vizivyo na maana,hujui hata ukifa ukiwa na nyumba unaacha legacy fln iv kwa jamii?ss gari hilo ukifa ndo watt uliowaacha watalalia au?
 
Mawazo ya zamani sana kupima mafanikio kwa idadi ya nyumba. Wanataka kila mtu aishi maisha wanayofikiria wao. Tale ni Tale. Wamwache aishi maisha yake.
 
Naam. Sisi watu masikini tuna shida sana. Yaani tunashindana kuvaa, kula, nyumba... Ndio maana ukikaa Uswahilini, majirani watakuchukia kwa vitu kama kula mayai mara kwa mara! Akina Mo, Bakhresa... watapata wapi muda wa kumtazama jirani anavaaje? Ukisoma maoni mengi hapa, utaona jinsi wengi tulivyo masikini (mali na akili).
Dah! wabongo wakija kukufariji nyumbani uwe makini ni wachoraji balaa
 
cha muhimu usingizi unapatikana🤣, urembo wa nyumba ni mbwembwe tu
Aende Mpakani mwa Tanzania na Zambia watu wanaishi kwenye nyumba za nyasi hafu nje amepaki Range lover, Tanzania tunapenda kujenga sana ndo maana mtu anakaa miaka kibao anajenga nyumba tu.
 
Sasa huko kwa warioba kajenga, au kapanga ?
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…