Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Hapo ni nyumbani kwao mwanamkeinakuaje mke akazikiwe kwao na mwanaume au ndio utaratibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni nyumbani kwao mwanamkeinakuaje mke akazikiwe kwao na mwanaume au ndio utaratibu
Mwache kwanza amalize msiba ndio uje kumsema hujui uchungu wa kufiwa na mke mkuu
Acha uongo ww.Hapo ni nyumbani kwao mwanamke
Hakika mkuu,jamaaa na promo zoote hata pazia kashndwa kuweka kabcaDuuuh.... kweli nimeamini ni wachaga pekee ndio tunapenda nyumbani. Hii ni aibu aisee.
Hivi mtu kama Tale amekosa milioni 50 kuwa na nyumba ya heshima kijijini?
Mkuu kajenge kwen achq kujitetea vitu vizivyo na maana,hujui hata ukifa ukiwa na nyumba unaacha legacy fln iv kwa jamii?ss gari hilo ukifa ndo watt uliowaacha watalalia au?Sisi tusio na nyumba Bongo tuna tabu sana. Wengine hawana nyumba lakini wana pesa benki. Wana gari nzuri na nyumba nzuri ya kupanga maeneo mazuri ya mji. Kwani kuna tatizo gani? Mbona watu ambao hajasoma huwa wanashabikia nyumba hivi? Tangu niko mdogo kijijini, wasomi walipokuwa wanatangulia mbele ya haki na kuja kuzikwa kijijini, mbumbumbu wa kijijini walikuwa wanawaongea vibaya sana eti kwa sababu hawakujenga nyumba kwao! Nimeishi nje kwenye nchi zilizoendelea, ambako watu wana pesa za kutupa, wala watu hawashobokei nyumba kiasi hiki. Watu wanaweka mapesa benki. Wakitangulia, wanaacha pesa kwa familia.
Kama kuna ambaye hajakuelewa akufuate pm kabxa,yawezkana wing wa waty hapa hajaelewa ss afanye kukufuata prvt kabx, maana umeweka nondo namifano ya kutoshaHakuna kitu kibaya kama msiba,maana msiba huwezi kumzuia mtu kuhudhuria tatizo ni pale kwenu hukupaendeleza then ikatokea ni lazima umati ukusanyike pale iwe ni wewe binafsi au vyovyote vile.
Kijijini nakotokea yupo brother mmoja aliondoka kutafuta maisha amehangaika sana nyota ikaenda kung'aa akiwa Msumbiji kwenye madini,jamaa mitandaoni anarusha picha yupo anakula maisha (though mazingira ya starehe kule hayakuwa makali sana but anavyojiweka kwa mjanja anamstukia huyu kashatusua),mara apige picha $ kazigandamiza na pistol,mara ana-drive Hummer haikuwa act ni maisha asili aliyokuwa anaishi.
Mwaka juzi jamaa akadondoka ghafla akafariki kumleta home haikuwa shida kutokana na connection aliyokuwa amejitengenezea jamaa akafikishwa kijijini,mila za kwetu huwezi kuzikwa nje ya sehemu uliyopewa na baba yako iwe ulijenga au hukujenga,zilikuja gari za maana Vogue,Hummer zilikuwa kama nne zime-park chini ya miembe hizo Land Cruisers zilikuwa kama Bajaj zinavyopaki hovyo pale Kariakoo,ila jamaa ilifyekwa majani sehemu itakayotumika kumzika akawekwa watu wakaamsha.kuendeleza makwetu kuna umuhimu mkubwa sana hata kama siyo kwa sababu nilizoorodhesha hapo juu ila ni kujitayarishia sehemu nzuri ya kupumzikia ukiwa bored kule ulipo.
Home nilijengaga nyumba ya kawaida ile ya ujana but nataka nikainue nyengine nzuri Mungu akinipa umri mrefu sitaki kuishi humu mijini maisha yangu yote ila nitakuwa miezi nane kijijini miezi minne mjini,mtu huwezi kufanya hivi kama kwenu hujajenga hata hao wasioenda kwao miaka na miaka kwao hawajajenga so aibu wanaiona pale wamekaa town miaka miwili au mitatu kisha wanarudi kijiji wanaenda tena kupishana na mama zao kwenye corridor za nyumba waliyokulia huku bukta zimewatuna kwa mbele.
Kabxaa mkuu na ndo maana ss iv wameshtukia deal kila msanii anaimba nyimbo za kupongeza ili awez rushiwa japo kipande cha mfupaBabu Tale nimjinga sana ,Anamtukana Fid q kumbe na yeye chostiki
Watu wenye pesa za ukweli niwanasiasa tu.km Mbowe , Magufuli , Ndugai. Sugu
ndio mkuu, hadi yenye kunguni, japo kunguni sio poa nilikesha😅Mkuu hivi umewahi kulala nyumba ambayo ina panya?
Sio Show off.. ni kuonesha kupajali ulipozaliwa..Tatizo mnapenda show off,sasa kijijini ujenge ghorofa la Nini..?
M
Mkuu kajenge kwen achq kujitetea vitu vizivyo na maana,hujui hata ukifa ukiwa na nyumba unaacha legacy fln iv kwa jamii?ss gari hilo ukifa ndo watt uliowaacha watalalia au?
Sasa watu mnasema akajenge kwao? Na nyumba ya watoto wake mtamjengea nyie? Maisha yenyewe ya mjini haya magumu sana ada ya mtoto si chini ya million moja nusu na hii za kawaida, kodi mjini nyumba walau ya afadhali laki 4 kwa mwezi.
Achilia matumizi mengine ya kila siku.
Yeye akijenga nyumba ya watoto wake inatosha.
Kama wazazi wake nyumba mbovu hilo ni tatizo la wazazi na familia nzima si la Tale.
Watanzania tunapenda kubebeshana lawama zisizo na msingi.
Dah! wabongo wakija kukufariji nyumbani uwe makini ni wachoraji balaa
Aende Mpakani mwa Tanzania na Zambia watu wanaishi kwenye nyumba za nyasi hafu nje amepaki Range lover, Tanzania tunapenda kujenga sana ndo maana mtu anakaa miaka kibao anajenga nyumba tu.cha muhimu usingizi unapatikana🤣, urembo wa nyumba ni mbwembwe tu
Sasa huko kwa warioba kajenga, au kapanga ?Sasa watu mnasema akajenge kwao? Na nyumba ya watoto wake mtamjengea nyie? Maisha yenyewe ya mjini haya magumu sana ada ya mtoto si chini ya million moja nusu na hii za kawaida, kodi mjini nyumba walau ya afadhali laki 4 kwa mwezi.
Achilia matumizi mengine ya kila siku.
Yeye akijenga nyumba ya watoto wake inatosha.
Kama wazazi wake nyumba mbovu hilo ni tatizo la wazazi na familia nzima si la Tale.
Watanzania tunapenda kubebeshana lawama zisizo na msingi.
Amepanga.Sasa huko kwa warioba kajenga, au kapanga ?