Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi aibu kwa kweli,Dogo janja kamjengea mama yake nyumba nzuri sana.Kazidiwa hata na dogojanja[emoji1][emoji1][emoji1]
Safi! Umeongea bonge la point. Mijitu mingi haitaki kuwekeza vijijini na ni miongoni mwa sababu vijiji kudumaa. Niliona kuna familia fulani walimsakama sana ndugu yao kwa kuamua kujenga ghorofa kijijini kwao mkoani Tabora huko.Nimekuelewa, ila kwa mtu ambaye ana uwezo wake mzuri kwanini ushindwe kujenga mjini na kijijini?
Hii ndo sababu inasababisha maendeleo pia yasienee kijijini maana watu hawaoneshi kujali umuhimu wa walipozaliwa
Unachosema ni kweli kabisa.. lakini usipende sana kuishi kwa kutafuta heshima kutoka kwa watu... Kuna watu wengine hawapendi hustling za kujenga na kusumbuana na mafundi, wanaamua kupanga nyumba nzuri wanayoweza kumuduMmmmh.. ni wapi hapo nje ya nchi watu hawathamini kumiliki nyumba?
Tena nje ya nchi, watu ndo wanakuwaga na dream za ku own nyumba (real estate), sema shida ni kwamba kumiliki nyumba ni gharama sana ndo mana wengi wanaishia kupanga mpaka wanakufa.
Sioni kama ni akili kuwa na mihela mingi kwenye account halafu usiwe na nyumba, ni kukosa akili.. pesa hii hii ambayo ikitokea inflation inakuwa haina tofauti na makaratasi?
Mtu yoyote mwenye akili popote pale lazima uwaze kumiliki nyumba, at some point in your life... Hakuna ufahari wa kutokuwa na nyumba nzuri.
Refere basic needs
- Food
- Shelter (Housing)
- Cloth
Hivi ndo vitu vitakupa heshima duniani.. How you eat (become healthy), Where you live (Good House), what you wear (Good Clothes).. sijui kama umenisoma mkuu
Hata huyo maigizo mengi sanaInaeza kuwa Diamond pekee ndio anamafanikio pale WCB
Naam nikweli kweli kabisa ..propaganda ni nyingi zaidi kuliko uhalisiaTatzo wabongo hamjaijua industry ya entertainment bongo...mnaamin sana uongo kuliko hal halisi..
Daah aibu sanaMoja ya industry ambayo ni Njaa sana basi entertainment inashika namba moja hao watu ni fake kwa kila kitu Umauti na Magonjwa ndo mwarobaini wao
Yeye sio maarufu wala hajawahi kujinasibu kuwa anapesaTuoneshe kwenu kwanza ndio tuanze kumlaumu Tale.
HahaaaSubirini msiba uishe..
Lakini hapo wameshindwa hata kununua pazia za 15k kweli?
Hamna aibu yoyote, yeye yupo kazini. Aibu tunaona sisi tunaoamini maisha yake ya kujulikana. Ustaa unaendana na kuficha uhalisia wa maisha, mwanasiasa lazima uwe muongo, fundi garadge lazima awe mchafu, kondakta lazima ajue kuongea sana, mzibua vyoo atanuka kinyesi.Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri, hata kuweka curtains tu kumemshinda? Kashindwa kuendeleza kwao ndio huyu anataka ubunge? Au anataka ubunge ili anufaike ? Aibu hii. Maisha ya social media bwana........
Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri, hata kuweka curtains tu kumemshinda? Kashindwa kuendeleza kwao ndio huyu anataka ubunge? Au anataka ubunge ili anufaike ? Aibu hii. Maisha ya social media bwana........
Tatizo social media imetoa plate-forme kwa kila mtu awe nani awe nani. Kufake kwingi.aisee watu wanaofanya kazi za kisanii hawatabiriki.
Mimi nilivyoona wanavuma sana nikajua kwao kuna magorofa na nikajua ana maisha safi kumzidi diamond.
Kumbe hamna kitu kabisa,makelele mengii
Naam. Sisi watu masikini tuna shida sana. Yaani tunashindana kuvaa, kula, nyumba... Ndio maana ukikaa Uswahilini, majirani watakuchukia kwa vitu kama kula mayai mara kwa mara! Akina Mo, Bakhresa... watapata wapi muda wa kumtazama jirani anavaaje? Ukisoma maoni mengi hapa, utaona jinsi wengi tulivyo masikini (mali na akili).
Ni kujenga majumba makubwa makubwa, kuendesha magari makali na kutokula vyakula vibaya baya.
si ndo mnavyojua haya kafurahie maisha sawa ee