Nilikuwa naangalia documentary video ya tajiri wa Kimarekani, mwanasheriq nguli, kingmaker aliyesaidiq kumuweka Clinton kwenye urais.
Vernon Jordan.
Wakati Barack Obama anaanza chuo Occidental, Vernon Jordan tayari alikuwa Civil Rights icon.
Clinton alitaka kumfanya awe mwanasheria Mkuu wa kwanza mweusi, Vernon Jordan kwa swagger zake akakataa.
Anasema yeye anataka kuwa na nyumba yake moja tu.
Kwingine kote atapanga tu.
Hataki shida ya kuwa responsible kufanya maintenance ya nyumba.
Hapo huyo ujue kashafanya hesabu zote za kuanzia maintenace mpaka kodi, kaona kupanga kwake ni gharama nafuu kuliko kuwa na nyumba nyingi.
Kibongobongo huyu wangemsema vibaya hataki kujenga nyumba.
A panel discussion on the life of Vernon Jordan.
www.pbs.org
Unampangia mtu ajenge kwao, hujui hata kama ana ugomvi na familia yao huko.