Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

Aibu kwa kweli halafu huwa wanajiita matajiri, hata kuweka curtains tu kumemshinda? Kashindwa kuendeleza kwao ndio huyu anataka ubunge? Au anataka ubunge ili anufaike ? Aibu hii. Maisha ya social media bwana........
Acha tu, misosi KFC na Pizza Hut basi tunaokula feri kwa mama chausiku macho hapa yanatutoka..
 
Safi! Umeongea bonge la point. Mijitu mingi haitaki kuwekeza vijijini na ni miongoni mwa sababu vijiji kudumaa. Niliona kuna familia fulani walimsakama sana ndugu yao kwa kuamua kujenga ghorofa kijijini kwao mkoani Tabora huko.
Inashangaza sana. Hata sisi wahaya tunajitahidi, lakini si kwa kasi sana.
Bukoba mpo vizuri
 
Tatizo letu kubwa ukijenga nyumba nzuri kijijini basi ujue umewajengea watu, watahamia humo wafanye makazi ya kudumu, hata mwenyewe ukienda unakosa kujinafasi. Na ukiwaambia ukweli watasema umewafukuza.
 
hiyo hisia tu; kama unajiweza wajengee wazee na ndugu wengine nao waji enjoy...
Fanya ziara moshi, utajua kwa nini watu wa kilimanjaro wana penda kwenda nyumbni mwisho wa mwaka
Vijiji kwao ni zaidi ya miji midogo...
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] ni shida man.
Nilikuwa naangalia documentary video ya tajiri wa Kimarekani, mwanasheriq nguli, kingmaker aliyesaidiq kumuweka Clinton kwenye urais.

Vernon Jordan.

Wakati Barack Obama anaanza chuo Occidental, Vernon Jordan tayari alikuwa Civil Rights icon.

Clinton alitaka kumfanya awe mwanasheria Mkuu wa kwanza mweusi, Vernon Jordan kwa swagger zake akakataa.

Anasema yeye anataka kuwa na nyumba yake moja tu.

Kwingine kote atapanga tu.

Hataki shida ya kuwa responsible kufanya maintenance ya nyumba.

Hapo huyo ujue kashafanya hesabu zote za kuanzia maintenace mpaka kodi, kaona kupanga kwake ni gharama nafuu kuliko kuwa na nyumba nyingi.

Kibongobongo huyu wangemsema vibaya hataki kujenga nyumba.

Unampangia mtu ajenge kwao, hujui hata kama ana ugomvi na familia yao huko.
 
Ana ugomvi halafu msiba anapeleka huko?
 
Ana ugomvi halafu msiba anapeleka huko?
Kwani nimesema ana ugomvi?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Unaijua familia yao na dynamics zake?

Unataka kumpangia mtu mzima ambaye ana malengo yake tofauti na yako jinsi ya kuishi?

Au unafikiri kila mtu anataka kuishi unavyofikiri wewe?
 
Shobo mitandaoni wakati kwenu choka mbaya tuache
 
hiyo hisia tu; kama unajiweza wajengee wazee na ndugu wengine nao waji enjoy...
Fanya ziara moshi, utajua kwa nini watu wa kilimanjaro wana penda kwenda nyumbni mwisho wa mwaka
Vijiji kwao ni zaidi ya miji midogo...

Bi mkubwa wangu hana shida ya nyumba, na huo uwezo wa kuwajengea ndugu wengine nyumba waji enjoy mimi sina. Na sijui kama huko Moshi wanajengeana nyumba tu. Wachaga hawahawa? Sijui.
 
wanasemaga nyumba ya familia haijengwagi na mmoja
Nilijenga peke yangu na mama tu, sahii kuna family za mtu saba hivi,wanaishi bure wanakula bure hata nikifika hivi vitukulu vinauliza we nani?😁
Navisubirigi tu nipate pumzi then navikimbiza mchaka mchaka mpaka vinajua mi ni nani.
Mpaka bibi yao(mama) anaweka poo .
Kwamba basi waache anawaambia huyo ndo kwake hapa.
Nyie wote wageni.
Ndo naondoka nikirudi kesho heshima "shikamoo mjomba "tulete nini, tufanyeje inakua mkatulie na bibi yenu huko jikoni mi nahangaika na contact tu hapa.
Ugali ukiiva haya then mi huyo mitini.
 
Na Babutale kajitahidi sana hapo na changamoto hizi za kuungaunga, hapo hamna lolote kwenye nyumba zaidi ya finnishing tu.
Muwe positive sometime ukiona mtu kafanya kitu.
Huyo Mbunge kabla alikua na family Dar sijui Manzese au Sinza.
Kwa kipato gani ajigawe afanye mambo huku na huku?
Muwe na akili kidogo.
WCB iko formated 2 years ago na hamna anaejua wanalipwa vipi.
 
Nilijenga peke yangu na mama tu, sahii kuna family za mtu saba hivi,wanaishi bure wanakula bure hata nikifika hivi vitukulu vinauliza we nani?[emoji16]
Navisubirigi tu nipate pumzi then navikimbiza mchaka mchaka mpaka vinajua mi ni nani.
Mpaka bibi yao(mama) anaweka poo .
Kwamba basi waache anawaambia huyo ndo kwake hapa.
Nyie wote wageni.
Ndo naondoka nikirudi kesho heshima "shikamoo mjomba "tulete nini, tufanyeje inakua mkatulie na bibi yenu huko jikoni mi nahangaika na contact tu hapa.
Ugali ukiiva haya then mi huyo mitini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi tusio na nyumba Bongo tuna tabu sana. Wengine hawana nyumba lakini wana pesa benki. Wana gari nzuri na nyumba nzuri ya kupanga maeneo mazuri ya mji. Kwani kuna tatizo gani? Mbona watu ambao hajasoma huwa wanashabikia nyumba hivi?

Tangu niko mdogo kijijini, wasomi walipokuwa wanatangulia mbele ya haki na kuja kuzikwa kijijini, mbumbumbu wa kijijini walikuwa wanawaongea vibaya sana eti kwa sababu hawakujenga nyumba kwao!

Nimeishi nje kwenye nchi zilizoendelea, ambako watu wana pesa za kutupa, wala watu hawashobokei nyumba kiasi hiki. Watu wanaweka mapesa benki. Wakitangulia, wanaacha pesa kwa familia.
Inategemea unaongelea nje gani. USA kuwa na nyumba kuna hadhi, hata wenye pesa kitu cha kwanza ni nyumba. Kama una pesa unajenga kwa pesa yako. Kama huna pesam mikopo iko njenje. Lakini kusema kuwa kuwa na nyumba si shoboko ni uongo. Ila sema tu, kwetu bongo kujenga nyumba kihalali kkwa pesa ya mshara ni kazi. Lbda uwe
 
Back
Top Bottom