Hamissa Mobeto vs Wema Sepetu inaitwa rise and fall

Wote ni wanawake tofauti mmoja anajitambua mwingine bado hajajitambua yeye kwake miaka haisongi bado mtoto wa mama alilewa masifasifa fulani.
 
Kuna vichwa vipo nyuma ya Hamisa. Ninachokipenda kwake ameamua kuajiri watu wa kuangalia biashara yake Kama brand, hicho ndo kinamtofautisha na mastar kibao wa bongo ambao hawaheshimu profession za watu. Hamisa akiendelea hivi ni dhahiri atakuja kufanya makubwa.
 
So wewe unajua kuandika mbona basi wewe sio maarufu kama diamond???.
Kutembelea nyota yake? Au kawa maarufu kwa kutumika na diamond?
Kunautofauti kama ametumia nyota yake diamond asingekuwa yuko sawa kimuziki diamond alivyonyaka nyota ya wema huoni wema kashuka hadi leo hajui afanyaje??
 
Kila zama na zama zake...

Hamisa ni zama zake.... Wema ananyota ya kutumiwa... anatumika sana faida wanapata wengine, yeye anaachiwa matatizo tu...


Cc: mahondaw
 
Muda wake huu..ila kumfikia Madame central bado sana
 
Toka ajikondeshe na Msambwanda kupungua amepoteza mvuto,kawa kama mgonjwa,aliyemshauri ndiye mchawi wake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…