Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Ila yule Dada si atamuuza jamani?Hamisa biashara itanoga sasa akienda state
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila yule Dada si atamuuza jamani?Hamisa biashara itanoga sasa akienda state
Kenya mbali Arusha sijawahi!!
Tumtakie safari njemaLakin si anaenda state au?
Mobeto ni star wa niniUkiniuliza ufanyeje utaonekana hujielewi hivi habari za mastaa unazokutanaga nazo huko mtandaoni huwa unafanyaga nini?
Hili ni jukwaa la celebrities kwa hiyo kujua mambo wanayoyafanya mastaa ni mahali pake. Ukienda wewe Marekani haiwezi kuwa habari ya kuandika hapa ukubali tu huu ukweli mchungu and sorry for being extremely honesty.
Tukiwajibu shit hamchelewi kutuitia moderator hapa
hahahaDuu ziwa kama lote..
maana yangu hata uwe na pesa kiasi gani...mwanamke anachotaka ni kutom#@&$...mpe hela alafu dushe legelege utajutaSasa mtu anapendewa vipi dhakari? Inabidi uzitoe, uziweke mezani demu aziangalie, akizipenda ndio anakuwa mpenzi wako, au?
Hili ni jukwaa la celebrities kwa hiyo kujua mambo wanayoyafanya mastaa ni mahali pake. Ukienda wewe Marekani haiwezi kuwa habari ya kuandika hapa ukubali tu huu ukweli mchungu and sorry for being extremely honesty[/QUOT
Ni kweli kabisa mkuu,ndio maana likaitwa jukwaa la macelebs ,lazima tujue their daily movements,what they eat what they do ,who they mingle with.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mtoa mada ni mmoja ya washamba wanaodhani kwenda Marekani ni issue ya kila mtu kujua
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji13] [emoji13] [emoji13] sasa je!bora umridhishee!!🤣🤣🤣
Ujue umenikumbusha hii quote
I av gotten to that point in life where I don't av strength to urgue , even if u tell me 1+1=8 u are very correct
Yaa kwenda marekani.... zamani watu walikuwa wanashangaa...siku hizi tunaingia na kutoka kama chooni tu....Mtoa mada ni mmoja ya washamba wanaodhani kwenda Marekani ni issue ya kila mtu kujua
Kwa watu wenye upeo mdogo na kukosa exposure kwoa ni bonge la dealKawaida mbona
Kila mtu anakoment kadiri anavyoona inafaa....is that a problem to u??Hili ni jukwaa la celebrities kwa hiyo kujua mambo wanayoyafanya mastaa ni mahali pake. Ukienda wewe Marekani haiwezi kuwa habari ya kuandika hapa ukubali tu huu ukweli mchungu and sorry for being extremely honesty
hahaaDooh kutoka "twatwatwa" unajiita Meghan ili?
hahaaa Jf mamaeekuna watu na digrii zetu kibao hata kenya hatujafika tume mind rohoni.. hapa tunazuga tu