Hamissa Mobetto aalikwa Marekani na ex wa Rick Ross

Hamissa Mobetto aalikwa Marekani na ex wa Rick Ross

Ukiniuliza ufanyeje utaonekana hujielewi hivi habari za mastaa unazokutanaga nazo huko mtandaoni huwa unafanyaga nini?

Hili ni jukwaa la celebrities kwa hiyo kujua mambo wanayoyafanya mastaa ni mahali pake. Ukienda wewe Marekani haiwezi kuwa habari ya kuandika hapa ukubali tu huu ukweli mchungu and sorry for being extremely honesty.

Tukiwajibu shit hamchelewi kutuitia moderator hapa
Mobeto ni star wa nini
 
Sasa mtu anapendewa vipi dhakari? Inabidi uzitoe, uziweke mezani demu aziangalie, akizipenda ndio anakuwa mpenzi wako, au?
maana yangu hata uwe na pesa kiasi gani...mwanamke anachotaka ni kutom#@&$...mpe hela alafu dushe legelege utajuta
 
Hili ni jukwaa la celebrities kwa hiyo kujua mambo wanayoyafanya mastaa ni mahali pake. Ukienda wewe Marekani haiwezi kuwa habari ya kuandika hapa ukubali tu huu ukweli mchungu and sorry for being extremely honesty[/QUOT
Ni kweli kabisa mkuu,ndio maana likaitwa jukwaa la macelebs ,lazima tujue their daily movements,what they eat what they do ,who they mingle with.
 
🤣🤣🤣
Ujue umenikumbusha hii quote
I av gotten to that point in life where I don't av strength to urgue , even if u tell me 1+1=8 u are very correct
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji13] [emoji13] [emoji13] sasa je!bora umridhishee!!
 
Hili ni jukwaa la celebrities kwa hiyo kujua mambo wanayoyafanya mastaa ni mahali pake. Ukienda wewe Marekani haiwezi kuwa habari ya kuandika hapa ukubali tu huu ukweli mchungu and sorry for being extremely honesty
Kila mtu anakoment kadiri anavyoona inafaa....is that a problem to u??
 
Back
Top Bottom