Hamissa Mobetto ametua Jana akitokea Dubai, Diamond yuko wapi kwa sasa?

Umeongea kimahaba kwa zari hamna hicho kitu!
 
Blessed with nude pictures?!! We unaweza oa au kuruhusu ndg yako awe na mtu mwenye picha za ngono mtandaoni?acha ile ya kua na watoto 3!

Mwanamke utupu wake dunia nzima unamuita blessed?![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ur not serious!!
 
ungemsifu zari bila kumuita Hamisa malaya ingependeza.btn zari Ana akili ya Maisha ila kwa umalaya kamzidi Hamisa.
 
Ngoja Nivute na kiti kabisa nishuhudie nani atashinda hii ligi
 
Hamisa anapatikana viunga vipi wakuu na mm nikaongeze watoto huku duniani...

Hivi Hamis alisha zaa na Ney Wa Mitengo???..
 
Hamisa anapatikana viunga vipi wakuu na mm nikaongeze watoto huku duniani...

Hivi Hamis alisha zaa na Ney Wa Mitengo???..


No man, ye mwenyewe ndio anaitwa Hamisa wa Mitego.
 
Jamani haka kabint sikaelewi we mtoto anamiezi 3 inapuyanga hata maziwa ya mama hayafaidi mabibi.pole bibi Dylan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…