Hamissa Mobetto ametua Jana akitokea Dubai, Diamond yuko wapi kwa sasa?

Lets wait and see. Alishuka mr nice kimchezo mchezo sembuse dai

Zari ni zari tu strong woman.
Strong woman kwa lipi Hasa?
Kuvumilia cheating kila mara?
Au anabeba zege huwa siwaelewiii
Ana tofauti gani na mimi na wewe ambao tunachitiwa tunang'ang'ana kisa pesa au watoto au kitu fulani?
A strong and a proud Woman is the one Who dont compromise with lies and cheating and can gladly leave the bullshit behind....hana ustrong wowote na yeye anahitaji pesa na jina na publicity.
Zari kamkuta Diamond maarufu Africa kamkuta ana Jina na kipaji chake hana cha kujisifu zaidi ya Moral na Emotional support na Sexual support
 
Zari anawezana kidogo na queen darlin na sio esma.

Esma anakaumbea umbea. Hivyo akienda kule akakaa siku mbili insta itajaa ubuyu wa south, tutajua hadi bei ya vijiko na mifagio ndani ya ile nyumba achilia mbali majina ya woote wanaoishi mule
Zari mwenyewe mmbeya tu
Walikuwa wanamteta mama Mkwe na Kina Munira mpaka kusutana.
 
Kwangu namuona strong woman imetosha. Zari is strong woman na hilo linajulikana basi tu wasiompenda wanakataa ukweli huu.
Strong woman kwa lipi Hasa?
Kuvumilia cheating kila mara?
Au anabeba zege huwa siwaelewiii
Ana tofauti gani na mimi na wewe ambao tunachitiwa tunang'ang'ana kisa pesa au watoto au kitu fulani?
A strong and a proud Woman is the one Who dont compromise with lies and cheating and can gladly leave the bullshit behind....hana ustrong wowote na yeye anahitaji pesa na jina na pyblicity.
Zari kamkuta Diamond maarufu Africa kamkuta ana Jina na kipaji chake hana cha kujisifu zaidi ya Moral na Emotional support na Sexual support
 
Kwangu namuona strong woman imetosha. Zari is strong woman na hilo linajulikana basi tu wasiompenda wanakataa ukweli huu.
Linajulikana wapi?
Na kina nani?
Huwa sielewi kumpenda mtu ni kumlamba matako?
Kuwa huna team raha sana.Unakuwa free minded.White is white black is black.
Unabadilika kwa mazingira na fact.
Zari hana ustrong wowote ndio maana akipisha na Diamond tu anaanza vijembe,anajisnap jicho jekundu means amelia sana sana na caption ndefu za kibabe.
Comments za mashabiki zenyewe zinampelekesha puta.
Zari ni typical African Woman tena za enzi za ujima.
Sitashangaa kusikia baba Nillan huwa anamkong'ota ndio maana lips huwa zinavimba.
 
I see pole.another zari hater
Wewe nawe!
Kila anayeenda kinyume na wewe ni Zari hater.Juzi wakat nasema ni mke uliniona Lover?
Sijui unalipwa au unajitia upoyoyo tu kisa ushabiki?
Hata nikisema Zari kajichubua ingawa ni ukweli utaniona hater?
Nikisema Zari hana nidham ndio maana huwa anajipiga dildo na kujirekodi utaniona hater?
Ila nikisema ana akili utaniona bonge la mtu?
 
Kama nakuona unataman afe hata leo usherehekeee. Dai anaishi bongo zari south,lips kuvimba ina maana dai anarusha ngumi toka bongo inatua mdomon kwa zari sauz khe khee kheeee kheeee hahahahahahahaha. Zari atabaki zari tu

Maskini uwiiii inachoma kama pasi. Ikikuuma meza wembe
Linajulikana wapi?
Na kina nani?
Huwa sielewi kumpenda mtu ni kumlamba matako?
Kuwa huna team raha sana.Unakuwa free minded.White is white black is black.
Unabadilika kwa mazingira na fact.
Zari hana ustrong wowote ndio maana akipisha na Diamond tu anaanza vijembe,anajisnap jicho jekundu means amelia sana sana na caption ndefu za kibabe.
Comments za mashabiki zenyewe zinampelekesha puta.
Zari ni typical African Woman tena za enzi za ujima.
Sitashangaa kusikia baba Nillan huwa anamkong'ota ndio maana lips huwa zinavimba.
 
Povu lote hili mie bana nshamaliza kulumbana na akina geniveros nashangaa umekurupuka hukoo quote ndeeefuuu kama gazeti la sani na story za bulicheka. Amini unayoamin na mie naamin nnayo amini. Sorry dear acha nimalizie weekend kwa amani.

Wewe nawe!
Kila anayeenda kinyume na wewe ni Zari hater.Juzi wakat nasema ni mke uliniona Lover?
Sijui unalipwa au unajitia upoyoyo tu kisa ushabiki?
Hata nikisema Zari kajichubua ingawa ni ukweli utaniona hater?
Nikisema Zari hana nidham ndio maana huwa anajipiga dildo na kujirekodi utaniona hater?
Ila nikisema ana akili utaniona bonge la mtu?
 
Strong woman kwa lipi Hasa?
Kuvumilia cheating kila mara?
Au anabeba zege huwa siwaelewiii
Ana tofauti gani na mimi na wewe ambao tunachitiwa tunang'ang'ana kisa pesa au watoto au kitu fulani?
A strong and a proud Woman is the one Who dont compromise with lies and cheating and can gladly leave the bullshit behind....hana ustrong wowote na yeye anahitaji pesa na jina na publicity.
Zari kamkuta Diamond maarufu Africa kamkuta ana Jina na kipaji chake hana cha kujisifu zaidi ya Moral na Emotional support na Sexual support
We Dada uko vizuri
 
Hivi mnaonaje kama watanzania tutaacha kufuatilia maisha ya hawa washenzi?

Sijaona faida kwa mtanzania yoyote kujua maisha binafsi ya kipuuzi ya wasanii hao.
Tukiacha kuwafuatilia, watabadilika na kuanza kuishi kihalisi na kimaadili.
 
Povu lote hili mie bana nshamaliza kulumbana na akina geniveros nashangaa umekurupuka hukoo quote ndeeefuuu kama gazeti la sani na story za bulicheka. Amini unayoamin na mie naamin nnayo amini. Sorry dear acha nimalizie weekend kwa amani.
Sijakurupuka nimekujibu na kukuquote kama ambavyo siku nyingine nafanya.
Sirumbani ninakupa usichotaka kukisikia.
Alafu sikia,watu tunamquote Max Melo sembuse wewe!
 
Mahaba niueee mahaba niteketezeeew!!!
Mahaba nigaragaze!
Nikimuunga mkono ananiona Jembe nikiwa kinyume naye ananiona Hater.
Zari mmbeya sana alafu anapenda sana maneno.
Ndio maana comments tu huwa zinamwendesha.
 
Kuna kipindi team nanilii walikua wanabully mastaa wasiojua english hasa ukiingia anga za malkia wao. Saiv wamehamia kwa mganda mwenye english yake kulazimisha awe mswahili
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jamani kaah!mswahili Yule sema ndo kizungu kinambeba wabongo ukitaka kuwaacha tema ung'eng'e bado tuna kaushamba fulani
 
Wewe nawe!
Kila anayeenda kinyume na wewe ni Zari hater.Juzi wakat nasema ni mke uliniona Lover?
Sijui unalipwa au unajitia upoyoyo tu kisa ushabiki?
Hata nikisema Zari kajichubua ingawa ni ukweli utaniona hater?
Nikisema Zari hana nidham ndio maana huwa anajipiga dildo na kujirekodi utaniona hater?
Ila nikisema ana akili utaniona bonge la mtu?
Zari niliekua namkubali Mimi ni yule wa 2013 na kurudi nyuma huyu wa sasa shida tupu!

Kwa kweli mi bora niwe hater ila hana tofauti na bongo movie

Back
Top Bottom