Moyo wa mtu kichaka,wakati mioyo yetu inasukuma damu pekee,ya wengine inasukuma hadi chapati
nnachompendea zari ni ustrong hata kama anaigiza ila yupo imara maana wengine tukitikiswa kidogo tu kama sio kuchafua watsup basi ni kununa siku nzima hata kwa ambao hawapo kwenye mvurugo huo
Hamisa anapitia alipopita wema,penny na wengineo maana dai kwa ushauri wa akina saalm wanaangalia penye faida na kiki na sio penzi la kugandana na kuchunana. Sio kosa lake bali akili zake zinamtuma hivyo ipo siku atapata anachokitafuta hata kama ni mapacha
Ayaaa acha hizo,age mate kitu gani hata age mate wanasaliti tu cha msingi ni kujielewa na kuelewa hali halisi ya mahusiano aliyopo. Huwez jua alimvumilia ivan kwa kipind gan mpaka akaamua kujiondokea