ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
papa iliyotoa watoto sita na papa iliyotoa watoto wawili ushajua tamu ni ipiDiamond hamheshimu Zari kabisa, mark my word! Yaani ni ile " akufukuzae hakwambii toka" yaan Domo kamchoka tukinao ni ile tu basi
Mi mtu wa karibu kabisa na Domo kaniambia uhusiano wa tununu na domo uko vile vile na Domo kafa kaoza kwa chuchunge