sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Basi sawa maana nilifikiri ni wewe hapo unaitwa zarina hassanNampenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawa maana nilifikiri ni wewe hapo unaitwa zarina hassanNampenda
Mswahili yule aliendaga nillan alivyozaliwaEsma na uchizi wake kwa madiba kumemshinda!
Hivi hata kwenda kusalimia sijawahi ona clip yake akitua SA
Numbisa bana ....huo ustrong wa Zari ni mbaya kuliko huyo anayeumia live coz anatoa sumu!Nimekuelewa sana numbisa
Tujipe moyo ipo siku atatulia kaka dai
Ila maumivu ya moyooooo!!acheni tu!u strong wa kufurahisha social media sinaga mie!
Na kwa stail ya kuangalia faida ndizo zinazomponza zari maana wanamla kichogo mi nisingeweza aiseee
Coz u love her that's it!!!Kwangu zari ni zaidi ya hamisa.
Absolutely true!!Numbisa bana ....huo ustrong wa Zari ni mbaya kuliko huyo anayeumia live coz anatoa sumu!
Tatizo anapenda sifa za mitandaoni, yaan ye kila kitu anafanya show off...
Watu kama hao ndo wanapataga Herat attack, depression n.k.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] my young sisyy mondi hatoshuka never ever kwa sababu ya zari kaa ukijua hilooooHuyu huyu dai alikufa na kuoza kwa wema nini kikatokea!?
Zari namfananisha na mama zetu wamevumilia mengi sana ndoani na wala hawajateteleka.
Dai akimuacha zari au zari akimuacha dai atakayeporomoka ni dai. Na hamisa atakosa soko,maana yeye anawaza ndoa na ndoa kwa mtu kama dai yatatokea ya wastara na mbunge au ya nuhu na mkewe
Bitter ukweli!Diamond hamheshimu Zari kabisa, mark my word! Yaani ni ile " akufukuzae hakwambii toka" yaan Domo kamchoka tukinao ni ile tu basi
Mi mtu wa karibu kabisa na Domo kaniambia uhusiano wa tununu na domo uko vile vile na Domo kafa kaoza kwa chuchunge
Mondi akiwa pale Wasafi ( off camera)..Anadai kuwa.................Wema atulize kipago yule kwa sasa analiwa msingi kulipiwa hoteli tuu!no more luv!
Sijui mondi anampenda nani kati ya hawa daaah
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji108] [emoji108] penny katulia sana kana akili mnooo!nakapenda haswaaMondi akiwa pale Wasafi ( off camera)..Anadai kuwa.................
mwanamke anayempenda kutoka moyoni kiukweli ni PENNY ( wapiii vpenny ukuje huku unapendwa,)...tatizo linakuja wapi penny hataki tena uhusiano na yeye, only be friends ...
Anasema laiti penny angecompromise ndiye mwanamke ambae angeweza kumtuliza na hiyo hali ilikuja baada ya kuachana na penny ndo akajua moyo wake umemdondokea
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] my young sisyy mondi hatoshuka never ever kwa sababu ya zari kaa ukijua hiloooo
Dai walisema atashuka akimuacha wema!!!wapiii
Atashuka kwa kua muda umefika!
Who iz Zari?by the way?anamtungiaga nyimbo?
Zari akimuacha diamond tunamsahauii mazimaaaa.am telling today 17th of Nov 2017.I swear Zari is nobody kwenye mziki wa dai
Numbisa bana ....huo ustrong wa Zari ni mbaya kuliko huyo anayeumia live coz anatoa sumu!
Tatizo anapenda sifa za mitandaoni, yaan ye kila kitu anafanya show off...kumbe moyoni anaumia vibaya vibaya!
Watu kama hao ndo wanapataga Heart attack, depression n.k.
Mondi akiwa pale Wasafi ( off camera)..Anadai kuwa.................
mwanamke anayempenda kutoka moyoni kiukweli ni PENNY ( wapiii vpenny ukuje huku unapendwa,)...tatizo linakuja wapi penny hataki tena uhusiano na yeye, only be friends ...
Anasema laiti penny angecompromise ndiye mwanamke ambae angeweza kumtuliza na hiyo hali ilikuja baada ya kuachana na penny ndo akajua moyo wake umemdondokea
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji108] [emoji108] penny katulia sana kana akili mnooo!nakapenda haswaa
Ndo maana anapendwa ana msimamooo"!
Sanaaaa asee ...hata mi nampenda sana huyu Dada japo mtu wa kujidunga daily hapo tu ndo tatizo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji108] [emoji108] penny katulia sana kana akili mnooo!nakapenda haswaa
Ndo maana anapendwa ana msimamooo"!