Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Simba sc na pacha wake Young African SC
Ninyi ni timu bora na kongwe kwa Tanzania. Zinauwekezaji mkubwa na mashabiki wengi kwa Tanzania kuliko timu yoyote ile.
Wote mumeingia makundi kwa pamoja na wote matokeo yenu yanafanana.
Ninyi ni MAPACHA HASWA.
Mmecheza michezo 3
Mkatoa sare 2 na mkafungwa 1.
Pia wote wawili mmefungwa na mwarabu tena wote mmefungwa huku mchezo mkiumiliki kwa dakika 90.
Haya matwins mtuambie shida nini mpaka sasa mue mkiani?
Je, makundi magumu?
Au MAREFA wanawahujumu sana kwa kuchoshwa na matambo yenu?
Au bado mnanafasi kwenye michezo 3 iliyobaki?
Au ndio au au au au au au au
Daaah! Au basi.