Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Sawa sajili mbovu mbona huwa tunaumiliki mchezo kwa dakika 90Unafanya sajili mbovu unategemea nini kwenye haya mashindano zaidi ya kuwa msindikizaji tu miaka nenda miaka rudi? Unaenda champion league una strikers mbovu kama mzize na musonda unategemea miujiza gani?
Oooh. Ni kweli kijana wa mkiani.Hata hufatilii mpira, nenda jukwaa la akina zuchu huko kunakufaa. Mechi nne za nyoko! Tumecheza mechi tatu kijana Kama hujui sio lazima kuanzisha Uzi kaa soma tunazoziandaa
Kukaa mkiani ni suala la muda tu kijana. Mbona wydad alicheza mechi mbili akawa na point zero kwahiyo ni nafasi ya muda tu lakini utashangaa baada ya round two kuanza.Oooh. Ni kweli kijana wa mkiani.
Ngoja niweke mambo sawa.
Heee kwanini mechi 3 ukae mkiani tuanzie hapo kwanza
Sawa kwanini mkae mkiani?Acha kulinganisha mpira waliocheza Yanga na hiyo takataka nyingine, Haswa ukizingatia Yanga amenyimwa goli la ushindi
Kumiliki mpira ni mafanikio?Sawa sajili mbovu mbona huwa tunaumiliki mchezo kwa dakika 90
Kuna magoli ya ushindi yananyimwa siku hizi?Acha kulinganisha mpira waliocheza Yanga na hiyo takataka nyingine, Haswa ukizingatia Yanga amenyimwa goli la ushindi
Mbona wydad jana ndio kupata pointi 3 na goli moja. Vipi naye usajili wake mbovu!?Unafanya sajili mbovu unategemea nini kwenye haya mashindano zaidi ya kuwa msindikizaji tu miaka nenda miaka rudi? Unaenda champion league una strikers mbovu kama mzize na musonda unategemea miujiza gani?
Ahaa kwahiyo kuna siku unahisi utakuja kutoka hapo mkianiKukaa mkiani ni suala la muda tu kijana. Mbona wydad alicheza mechi mbili akawa na point zero kwahiyo ni nafasi ya muda tu lakini utashangaa baada ya round two kuanza.
Sio kutoka tu hata kuvuka hii stage ya makundiAhaa kwahiyo kuna siku unahisi utakuja kutoka hapomkian
Nakunya hapa na kibahaSio
Sio kutoka tu hata kuvuka hii stage ya makundi
Unayo hayo Mavi?Nakunya hapa na kibaha
Yanga ana pointi ngapi hivi, maana hata mi sifuatilii kihivyoKwa hiyo kabisa unafananisha Yanga na hao milupo?
Wewe akili mbofumbofu wanasema 🦁ana mtakia mabaya mwana🏃Simba sc na pacha wake Young African SC
Ninyi ni timu bora na kongwe kwa Tanzania. Zinauwekezaji mkubwa na mashabiki wengi kwa Tanzania kuliko timu yoyote ile.
Wote mumeingia makundi kwa pamoja na wote matokeo yenu yanafanana.
Ninyi ni MAPACHA HASWA.
Mmecheza michezo 3
Mkatoa sare 2 na mkafungwa 1.
Pia wote wawili mmefungwa na mwarabu tena wote mmefungwa huku mchezo mkiumiliki kwa dakika 90.
Haya matwins mtuambie shida nini mpaka sasa mue mkiani?
Je, makundi magumu?
Au MAREFA wanawahujumu sana kwa kuchoshwa na matambo yenu?
Au bado mnanafasi kwenye michezo 3 iliyobaki?
Au ndio au au au au au au au
Daaah! Au basi.
YANGA na simba wote wana pointi 2Yanga ana pointi ngapi hivi, maana hata mi sifuatilii kihivyo