Hamjambo nyie vijana wa CAF Champion League

Matambo mengi sana,ila kuhusu marefa hapo ndiyo patamu marefa mnawapokea nyie mnashindwa kuwachabgamsha akili na mwili? Wachawi wa kwenu km wapo hahaha uwanja wa mkapa wa kwenu pia halafu mnapigwa kweli
 
Mimi naamini timu zote mbili Simba na Yanga zitafuzu kuingia robo fainali. Kwani japo wana point chache lakini performance yao uwanjani siyo mbaya wana uwezo wa kufanya vizuri kwenye michezo ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…