Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,287
Mheshimiwa sikuuona mualiko wako ulipo nipelekaHapana sio kwenye umbea zilikuwa pita pita za hapa na pale nikatokea sijaamin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mheshimiwa sikuuona mualiko wako ulipo nipelekaHapana sio kwenye umbea zilikuwa pita pita za hapa na pale nikatokea sijaamin
Kule wanakotamaniana au hupajui nawewe
Mpeleke huyo jamaa hapo analilia kweli na anasema anamwaka hum nazan atakuwa na hisia japo na kiumbe kimoja wapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa umri wako uendane na matendo yako,usije kuwa kama limutuzi
Umba tuku saiv naweza nika ku pm ata wwshedede PM ulishaweza kupata ?
Mwaliko wako nimeuona asee kule kunawapenda naoHakuna mahali umeona nimekutag ?
Utajifunza mengi ukiwa keen observer,unajifunza mengi kwa kusikiliza na kuangalia,ingia jamvini,chukua kikombe cha kahawa then ukae kitako ujifunze kutoka kwa walokuzidi ujuvi.titimunda unazani kuna wanaotaka kujulikana niwageni ? ilikuwa hivi unatokea mahali hujui uanze na wapi waweza fanya touch ya kwanza tu ukaangukiwa na wote
Utajifunza mengi ukiwa keen observer,unajifunza mengi kwa kusikiliza na kuangalia,ingia jamvini,chukua kikombe cha kahawa then ukae kitako ujifunze kutoka kwa walokuzidi ujuvi.
Ata sijui mwenzanguUnahis nini hasa ilikuwa tatizo ukawa huwez kumpm mtu ?