Hamjambo ?

Hamjambo ?

Wanamaswali flan yakukera sazingine
Umba tuku humu ni mikono salama jf kila kitu kipo hiz ndo sheria za jf
1.lazima uchangie mada atakama haikuhusu
2.mtu akikufata pm myajenge huko huko usiyalete huku kwetu unaweza pigwa banned au bamedi
3.kwa mara ya kwanza nakuruhusu kwenda majukwaa mengine kama jukwaa la siasa, love conect n.k
4.rugha chafu azitakiwi pia ukitoa uzi ambao kichwa cha habar ni chenga yaani hakieleweki post ya inafutwa lakini sijui inafutwa na nani mi mwenyewe nilishafutiwa post yangu

[HASHTAG]#karibu[/HASHTAG] sana jf
By shedede
 
shedede wewe mkuu sijana tu tulikuwa wageni wote leo umekuwa mwenyeji ? haya endelea kunielekeza
 
Back
Top Bottom