Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww umejuajeHuyu nadhani n8 member , ambae amaefungua account mpya
Wale uroda pekeyao chikubali mimiwewe siuliambiwa ungoje ngoje kwanza usiwafate watu huko ?
We nenda niache mimi apa wakija tawambia amenikimbiashedede kwahiyo huko ambako huruhusiwi kwenda kuna maraa ?
Namimi nimechoka chin napandaje juu
Ndio kuepuka usumbufukumbe waweza funga usiandikiwe na mtu ? nini hasa lengo lakufanya ivo ?
Niwakati gani nashauriwa kufunga PM yangu ?
Humu pia utawakuta wasiojua tofauti ya l na r kwa hiyo usishangaewasubili wakuu itawaona tu wanakusikiliza tu
Hahahahahakwanza kabla ya yote njo ujibu hizi swali hapa
ww ni ccm au cdm
ww ni simba au yanga
ww ni me au me
ww niwa diamond au alikiba
Hahahahaha