Hamjambo ?

Hamjambo ?

Poa mkuu vip unakuta wengine wame quote maandishi yanaonekana ya blue au mekundu wanafanya mautundu gani na wanamaana ipi

hapa kuna mambo chungu nzima yaani nakoma
 
Sasa wewe umezubaa zubaa hapa kama utumbo. Kachangie majukwaa mengine

Nimeogopeshwa nimeambiwa kuna majukwaa sijui la siasa halitaki mchezo kabisa nimeambia nitulia hapa kwa muda mpaka nipewe maelekezo mengine so nasubiria
 
Back
Top Bottom