Hamjambo ?

Hamjambo ?

Sasa usubirie kimya kimya bila kelele. Ila ruksa nenda tu jukwaa la siasa (natamani ukale ban upumzike aaahh)
Nimeogopeshwa nimeambiwa kuna majukwaa sijui la siasa halitaki mchezo kabisa nimeambia nitulia hapa kwa muda mpaka nipewe maelekezo mengine so nasubiria
 
Wana jukwaa hamjambo ?

Jaman mimi mgen hum ndani natumaini mtanipa taratibu za hum jukwaani

nini napaswa kukisema na nini sipaswi kukisema

Asanteni wote natumai niko kwenye mikono salama
Unatakiwa kuweka picha yako na ya kitambulisho chako, pia usisahau mchango wa kujiunga unapitia kwangu maana me ndo muweka hazina humu ndani kwa maelezo zaidi nifuate pm [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
mbona kuna sheria sheria nyingi ivi ? mkuu fafanua please
 
Afu wakuu mi mshamba kidogo nikimfata mtu pm nikitaka nisend massage inaandika private message module not support
 
Back
Top Bottom