Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kama yapi?
Nipe maujuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe maujuzi
Nimeogopeshwa nimeambiwa kuna majukwaa sijui la siasa halitaki mchezo kabisa nimeambia nitulia hapa kwa muda mpaka nipewe maelekezo mengine so nasubiria
Unatakiwa kuweka picha yako na ya kitambulisho chako, pia usisahau mchango wa kujiunga unapitia kwangu maana me ndo muweka hazina humu ndani kwa maelezo zaidi nifuate pm [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wana jukwaa hamjambo ?
Jaman mimi mgen hum ndani natumaini mtanipa taratibu za hum jukwaani
nini napaswa kukisema na nini sipaswi kukisema
Asanteni wote natumai niko kwenye mikono salama
Kwanza wew ukiquote unaandikia kwa juu ss kwa chin au we ni modKama yapi?
Unatakiwa kuweka picha yako na ya kitambulisho chako, pia usisahau mchango wa kujiunga unapitia kwangu maana me ndo muweka hazina humu ndani kwa maelezo zaidi nifuate pm [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwanza wew ukiquote unaandikia kwa juu ss kwa chin au we ni mod
Sihitaji jibu...swali lenyewe lina mategemkuu ungependa jibu gani hasa muda huu
wakali wakali umewaona ?
hapo mmeniacha njia panda wakuu
Da tutapona vichaa
Namimi nimechoka chin napandaje juuHahahaa mods hata siwajui. Me ka mwanachama ka kawaida. Nimependa kutumia juu kuliko chini
Ndio mkuu mi mfupi naitaji nipande juu ya mti kaa zakayo walau nione massage vzrHuko juu na chini unakokuzungumzia nikupi mkuu mpaka umechoka inaonesha sio pamchezo mchezo mkuu