Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hata wewe siuliwahi kuwa mgeni pahali ?
Kabla ya kujiunga humu,nilikua naisoma kama mgeni nikapata uzoefu mwingi ndio nikajiunga,wewe umeijulia wap jf?
Wanireport tena ? aaa bana
nligongana na article moja hivi mtandaoni nikabofya ikanileta hum hata sijui nayo ilikuwa na mpango gani mpaka kunileta hum
sawa sawa ila muda nao nitatizo
kama dereva vile kuizoea gari
Sorry numbisa kaa nitakukera mi mwenyewe humu mgeni sana tu nilijoin humu July 17 2016 lakini humu jf sijui sheria wala sijawahi pewa mashariti kama mnayo mpa huyo jamaa napenda na mimi nipewe ili niende sawa na members wa humu jf pia sijaelewa like na izo banned zinausika na nini asa pia neno mkuu ndo neno linalo paswa kutumika humu auHahahaa sio wakali wanakutania tu.Bonyeza uone(ni like kama ya facebook)
Sorry numbisa kaa nitakukera mi mwenyewe humu mgeni sana tu nilijoin humu July 17 2016 lakini humu jf sijui sheria wala sijawahi pewa mashariti kama mnayo mpa huyo jamaa napenda na mimi nipewe ili niende sawa na members wa humu jf pia sijaelewa like na izo banned zinausika na nini asa pia neno mkuu ndo neno linalo paswa kutumika humu au
Msaada wako mkuu[emoji120]
Sorry numbisa kaa nitakukera mi mwenyewe humu mgeni sana tu nilijoin humu July 17 2016 lakini humu jf sijui sheria wala sijawahi pewa mashariti kama mnayo mpa huyo jamaa napenda na mimi nipewe ili niende sawa na members wa humu jf pia sijaelewa like na izo banned zinausika na nini asa pia neno mkuu ndo neno linalo paswa kutumika humu au
Msaada wako mkuu[emoji120]
Yaani mi mwenyewe sielewi hata humu jf sheria zaoKwanza hapa baada tu ya kujiunga nikaambiwa niwaite watu mkuu nimekuja kujuwa kumbe kuwa tu JF MEMBER ushakuwa mkuu
Mi mgeni xan humu Muulize numbisashedede nakulipaje hizo like's zote mkuu
Sawa izo like zinasaidia nn nisaidie na apoShaka ondoa nimejipa ukiranja humu mshahara like. LIKE ni kama zile za facebook ukipenda comment ya mtu unagonga like,usipoipenda unapotezea tu.
Ban ni kakifungo fulani hivi kwa wenye lugha isiyo ya kiistaarabu,ukipewa ban hauwez ingia humu(sijawah ipata hivyo sijui wanajuaje inavyotokea baada ya ban)
Neno MKUU linatumia hasa pale haujui jinsia ya unayemjibu. Ila mara nyingi linatumika sana tu kumuita mtu yoyote