Hamjambo ?

Hamjambo ?

Kabla ya kujiunga humu,nilikua naisoma kama mgeni nikapata uzoefu mwingi ndio nikajiunga,wewe umeijulia wap jf?

nligongana na article moja hivi mtandaoni nikabofya ikanileta hum hata sijui nayo ilikuwa na mpango gani mpaka kunileta hum
 
Hahahaa sio wakali wanakutania tu.Bonyeza uone(ni like kama ya facebook)
Sorry numbisa kaa nitakukera mi mwenyewe humu mgeni sana tu nilijoin humu July 17 2016 lakini humu jf sijui sheria wala sijawahi pewa mashariti kama mnayo mpa huyo jamaa napenda na mimi nipewe ili niende sawa na members wa humu jf pia sijaelewa like na izo banned zinausika na nini asa pia neno mkuu ndo neno linalo paswa kutumika humu au

Msaada wako mkuu[emoji120]
 
Kwanza hapa baada tu ya kujiunga nikaambiwa niwaite watu mkuu nimekuja kujuwa kumbe kuwa tu JF MEMBER ushakuwa mkuu
 
Shaka ondoa nimejipa ukiranja humu mshahara like. LIKE ni kama zile za facebook ukipenda comment ya mtu unagonga like,usipoipenda unapotezea tu.
Ban ni kakifungo fulani hivi kwa wenye lugha isiyo ya kiistaarabu,ukipewa ban hauwez ingia humu(sijawah ipata hivyo sijui wanajuaje inavyotokea baada ya ban)

Neno MKUU linatumia hasa pale haujui jinsia ya unayemjibu. Ila mara nyingi linatumika sana tu kumuita mtu yoyote
Sorry numbisa kaa nitakukera mi mwenyewe humu mgeni sana tu nilijoin humu July 17 2016 lakini humu jf sijui sheria wala sijawahi pewa mashariti kama mnayo mpa huyo jamaa napenda na mimi nipewe ili niende sawa na members wa humu jf pia sijaelewa like na izo banned zinausika na nini asa pia neno mkuu ndo neno linalo paswa kutumika humu au

Msaada wako mkuu[emoji120]
 
Shaka ondoa nimejipa ukiranja humu mshahara like. LIKE ni kama zile za facebook ukipenda comment ya mtu unagonga like,usipoipenda unapotezea tu.
Ban ni kakifungo fulani hivi kwa wenye lugha isiyo ya kiistaarabu,ukipewa ban hauwez ingia humu(sijawah ipata hivyo sijui wanajuaje inavyotokea baada ya ban)

Neno MKUU linatumia hasa pale haujui jinsia ya unayemjibu. Ila mara nyingi linatumika sana tu kumuita mtu yoyote
Sawa izo like zinasaidia nn nisaidie na apo
 
Back
Top Bottom