1.walim 2nafanya kaz mwsho sa 8.20 mchana, 2. Walim 2nafanyakaz kwa kuzngmza, 3....... Hebu trrka mwlm mwenzangu.
Kama na wewe ni mwalimu basi nchi yetu imekwisha kabisa.1.walim 2nafanya kaz mwsho sa 8.20 mchana, 2. Walim 2nafanyakaz kwa kuzngmza, 3....... Hebu trrka mwlm mwenzangu.
Kama na wewe ni mwalimu basi nchi yetu imekwisha kabisa.
Kwa jinsi ulivyoandika hapo juu, Sidhani kama unajua kusoma na kuandika sawasawa.
Jaribu wewe mwenyewe kusoma alichokiandika ndio utanielewa.
Nilivutiwa sana na tittle ya thread yako, ila kitu kilichonishtua ni haya madudu uliyoandika humu!! Mimi nahisi wewe sio mwalimu wa kufundisha wanafunzi wa darasani, ila unaweza ukawa mwalimu wa kijiwe cha wahuni tuuu!!1.walim 2nafanya kaz mwsho sa 8.20 mchana, 2. Walim 2nafanyakaz kwa kuzngmza, 3....... Hebu trrka mwlm mwenzangu.
Hata walimu wa vichaa nao ni walimuNimekosea sikutakiwa kusoma hii kitu!!!!!!!
Ndo maana wanasema ni kada ya failures.
Kama na wewe ni mwalimu basi nchi yetu imekwisha kabisa.
Kwa jinsi ulivyoandika hapo juu, Sidhani kama unajua kusoma na kuandika sawasawa.
Jaribu wewe mwenyewe kusoma alichokiandika ndio utanielewa.[Kwa style hii wanafunzi wataedelea kufeli tu.