Hamna kazi nzuri kama ualimu jamani.

Hamna kazi nzuri kama ualimu jamani.

mbogolo

Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
26
Reaction score
3
1.walim 2nafanya kaz mwsho sa 8.20 mchana, 2. Walim 2nafanyakaz kwa kuzngmza, 3....... Hebu trrka mwlm mwenzangu.
 
Mimi naona hoja yako ni nzuri ila huwezi kuitetea...tutakusaidia baadae
 
1.walim 2nafanya kaz mwsho sa 8.20 mchana, 2. Walim 2nafanyakaz kwa kuzngmza, 3....... Hebu trrka mwlm mwenzangu.
Kama na wewe ni mwalimu basi nchi yetu imekwisha kabisa.

Kwa jinsi ulivyoandika hapo juu, Sidhani kama unajua kusoma na kuandika sawasawa.

Jaribu wewe mwenyewe kusoma alichokiandika ndio utanielewa.
 
wewe elimu yako ni cheti, diploma ama degree??
je unafikiri hizo ndizo hoja za msingi sana za kuutetea ualimu kwamba ndio kazi nzuri??
to me hoja hizi zinaonyesha the negative side of teaching carrier. kwamba sio mwajibikaji, hana jambo la kufanya zaid ya kuongea, anaiba muda wa utumishi wa umma unamtaka mtumish kuanza kazi saa moja na nusu na kufunga saa tisa na nusu jion. umeona jinsi ambavyo umedhalilisha carrier??
 
mwalimu uko hiv, je wanafunzi watakua ktk hali gani? hili janga la taifa/
 
Baada ya saa 8.20 unautumiaje muda wako? Wenzako wakitoka kufundisha wanaingia mtaani na bodaboda zao kula vichwa!
 
Kama na wewe ni mwalimu basi nchi yetu imekwisha kabisa.

Kwa jinsi ulivyoandika hapo juu, Sidhani kama unajua kusoma na kuandika sawasawa.

Jaribu wewe mwenyewe kusoma alichokiandika ndio utanielewa.

Alishasema anafanya kazi kwa kuzungumza, kwa maana kuandio either hawajui au sio lazima. Kwa hiyo usimlaumu na wakati alishasema wanafanya kaz kwa kuzungumza! Teh
 
1.walim 2nafanya kaz mwsho sa 8.20 mchana, 2. Walim 2nafanyakaz kwa kuzngmza, 3....... Hebu trrka mwlm mwenzangu.
Nilivutiwa sana na tittle ya thread yako, ila kitu kilichonishtua ni haya madudu uliyoandika humu!! Mimi nahisi wewe sio mwalimu wa kufundisha wanafunzi wa darasani, ila unaweza ukawa mwalimu wa kijiwe cha wahuni tuuu!!
 
hv kwa hali hii elimu ya tz itakua kwel? kama mwalimu anafurahía muda wakutoka je wanafunz itakuwaje?
 
Lazima Utakuwa mwalimu wa shule ya msingi. Unakopesha visheti askirimu vibagia na karanga ili jioni ukapate viroba au valuu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Si dhani umefikiria kabla ujaandika ulicho kiandika, pole sana kama ww ni mwalimu naomba ujiuzulu tu.
 
Kama na wewe ni mwalimu basi nchi yetu imekwisha kabisa.

Kwa jinsi ulivyoandika hapo juu, Sidhani kama unajua kusoma na kuandika sawasawa.

Jaribu wewe mwenyewe kusoma alichokiandika ndio utanielewa.[Kwa style hii wanafunzi wataedelea kufeli tu.
 
Back
Top Bottom