Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.walim 2nafanya kaz mwsho sa 8.20 mchana, 2. Walim 2nafanyakaz kwa kuzngmza, 3....... Hebu trrka mwlm mwenzangu.
Ama kweli jf imevamiwa!...
uko fitii.wewe elimu yako ni cheti, diploma ama degree??
je unafikiri hizo ndizo hoja za msingi sana za kuutetea ualimu kwamba ndio kazi nzuri??
to me hoja hizi zinaonyesha the negative side of teaching carrier. kwamba sio mwajibikaji, hana jambo la kufanya zaid ya kuongea, anaiba muda wa utumishi wa umma unamtaka mtumish kuanza kazi saa moja na nusu na kufunga saa tisa na nusu jion. umeona jinsi ambavyo umedhalilisha carrier??
uko fitii.
Kama na wewe ni mwalimu basi nchi yetu imekwisha kabisa.
Kwa jinsi ulivyoandika hapo juu, Sidhani kama unajua kusoma na kuandika sawasawa.
Jaribu wewe mwenyewe kusoma alichokiandika ndio utanielewa.
nilipenda ulivyo idadavua hoja.hhahahahahaha! umenichekesha sana mkuu khaaaa!
nilipenda ulivyo idadavua hoja.
thanks mkuu, nimekusoma.
nakutakia wiki nzuri yenye mafanikio.[/Q thankx