Hamna kazi nzuri kama ualimu jamani.

Hamna kazi nzuri kama ualimu jamani.

[1.walim 2nafanya kaz mwsho sa 8.20 mchana, 2. Walim 2nafanyakaz kwa kuzngmza, 3....... Hebu trrka mwlm mwenzangu.]

Naona unadhihilisha usemi wenu wa kutoa wanafunzi feki.
 
1.walim 2nafanya kaz mwsho sa 8.20 mchana, 2. Walim 2nafanyakaz kwa kuzngmza, 3....... Hebu trrka mwlm mwenzangu.

Shikaamooo Mwalmu! Ila Mwalimu naomba kuuliza, hivi hayo ndiyo mazingira bora ya kazi? Je katika chuo ulichosoma uliambiwa ya kwamba hayo ndiyo yatakayofanya wanafunzi na jamii ipate elimu bora?
Usinihukumu: nahisi umetumwa kukupima upepo. Naikitika sana..........
 
Ualimu kuwa kada ya failures n ktokana na mfumo wa nchi kutotoa kpaumbele ktk sekta hii, cdhan km mtu mwenye div. 1 angekubal kuwa mwalim na hal maslah na mazingra waliyonayo walim anayaona kuwa n dun bora kuingia sekta nyingne, lakn kumbuken kwa dunia ya sasa bila mwalim cjui inakuaje! Haijalish alifel au la maadam ameshakua trained na anazocfa za kuitwa hvyo.
 
Ama kweli jf imevamiwa!...

Nakuunga mkono mkuu, huyu aliandika hiyo thread ni kilaza sijawahi ona. Nilipoiona title yake nilihamasika kuisoma thread yake. Nilipoanza kuisoma nikagundua ni upuuzi mtupu. Mi nadhani huyu binadamu ni muathirika wa facebook, huku jf amevamia tu!
 
Watanzania tuna muda mwingi wa kukaa ofisini ila siyo wa kufanya kazi.
 
please!!! jamii forum is a field of exchanging intellectual ideas, so in our writing let we use art of writing which is readable to your felow scholars!!!
 
Hahahahaaaaa:msela::typing:
Kweli wewe mwalimu, unaongea tuu halafu unalipwa mwisho wa mwezi, saa 8 kazi kwisha upo nyumbani unaangalia muvi au umelala au upo kijiweni. una raha sana kuwa mwalimu... mh!
 
wewe sio mwalimu na kama ni mwalimu basi cheti unachotumia sio chako. tutakuchunguza!!!
 
wewe elimu yako ni cheti, diploma ama degree??
je unafikiri hizo ndizo hoja za msingi sana za kuutetea ualimu kwamba ndio kazi nzuri??
to me hoja hizi zinaonyesha the negative side of teaching carrier. kwamba sio mwajibikaji, hana jambo la kufanya zaid ya kuongea, anaiba muda wa utumishi wa umma unamtaka mtumish kuanza kazi saa moja na nusu na kufunga saa tisa na nusu jion. umeona jinsi ambavyo umedhalilisha carrier??
uko fitii.
 
FANYA UTAFITI KWANZA KABLA YA KUANDKA STATUS,WW UKO TANZANIA IPI? KIJIJINI MASOMO YANAISHA SAA 11:30 jion wanafunz wanaenda kula chakula home sa 6.30 na kurud sa 8 mchana mpaka 11 :30 jion,mjini ndo saa 7:30 kunakuwa na shft 2 mwanafunzi wa kjjn anatoka km 12 kwenda shule harud nyumban kula sabab ya umbali akchelewa atachapwa na wengne home majanga akrud anakuta msos hamna anabak anasinzia tu MFUMO WA ELIMU HAUKO SAWA KUWE NA MUDA MMOJA WA KURUD HOME,SIYO MJN SA7 KJJ SA 11 JION
 
Kama na wewe ni mwalimu basi nchi yetu imekwisha kabisa.

Kwa jinsi ulivyoandika hapo juu, Sidhani kama unajua kusoma na kuandika sawasawa.

Jaribu wewe mwenyewe kusoma alichokiandika ndio utanielewa.

I second you mkuu, kama mwalimu na anayeona fahari katika kazi yake anaandika hivi, sijui wale walimu wanaoichukia/kutoipenda/kutoithamini kazi yao...na zaidi ya yote wanafunzi wake.
 
Na hawa ndo aina ya walimu tulio nao katika shule zetu za kata..! JK hoyeeee, hoyeeeee. Chagua ccm 2015 upate bora maisha
 
Back
Top Bottom