Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
Wote wanaomchafua Hayati Magufuli watakufa na kusahaulika lakini Magufuli ataendelea kukumbukwa vizazi na vizazi.
Historia inaonyesha mtu aliyeacha legacy hazuiliki. Erick Kabendera, askofu Mwamakula na wengine wengine hawana legacy yoyote kwenye nchi hii zaidi ya kusaliti taifa hivyo watakufa na kusahaulika ndani ya mwezi mmoja.
Wasaliti wa Tanzania hawawezi na hawatakaa waweze kumchafua Magufuli. Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.
Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.
Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.
Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu.
Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.
Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko