Hamna mkoa nimewahi kwama kwenye utafutaji kama Singida

Chuo cha utumishi haukukiona?
Chuo cha Ualimu kinampanda ulikiona kama kweli unapajua Singida?
 
Mkoa wa Kilimanjaro ni balaa tupu bora Singida mara mia. 2016 Nilienda pale nina kilo 80, tai kubwa na 2m mfukoni. Kila kitu nilichofanya hakuna PESA niliyopata. Baada ya mieži 6, nilishafuta kilo 30 kutoka 80.
 
Ungeishi lindi si ungeichukia nchi nzima,
 
Utafikiri unajua kweli wakati kiukweli hakuna unalojua hiyo mikoa mingine hata kufika hujafika. Mmebakia kuwa wajuaji humu JF
 
Mkoa wa Kilimanjaro ni balaa tupu bora Singida mara mia. 2016 Nilienda pale nina kilo 80, tai kubwa na 2m mfukoni. Kila kitu nilichofanya hakuna PESA niliyopata. Baada ya mieži 6, nilishafuta kilo 30 kutoka 80.
Hahahah Moshi ina ma Tycoon wake mzee... Mgeni kutoboa labda uuze nyanya sokoni ila sio biashara ya duka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…