Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Chuo cha utumishi haukukiona?Niliuza nguo wakati huo za mtumba zikagoma, nikarudi kwenye matunda napo holaa!!!!! viatu navyo nikauza holaa!!!! Nikaambiwa viatu subiri Sikukuu ya Idd au wakivuna vitunguu daaah nikaona nitakuwa nakula nini....
Serikali haijapeleka hata vyuo vya kueleweka pale mkuu yaani ni uhasibu tu tena tawi la TIA ndiyo lipo pale. Labda kuna VETA tu pale.
Chuo cha Ualimu kinampanda ulikiona kama kweli unapajua Singida?