MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Badili mtazamo wako wa maisha utaishi popote na kufanikiwa. Usiwe mjinga mjinga kuja hapa kulia lia.Samahanini mkuu kwa maneno niliyo yasema kukashifu mji wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badili mtazamo wako wa maisha utaishi popote na kufanikiwa. Usiwe mjinga mjinga kuja hapa kulia lia.Samahanini mkuu kwa maneno niliyo yasema kukashifu mji wenu.
kweli singida ni miongoni mwa mikoa migumu sana kiuchumi sababu haina mzao ya biashara mfano mpunga wafugaji pamba ufuta mbao nk hata hao wachaga wenye viduka pale wako hoiDaaah walio toboa kwenye huo mkoa hongereni. Daah mikoa mingine utasema upo KENYA siyo Tanzania.
Licha ya ugumu wa pesa hali ya hewa pia haikunifurahisha upepo mkali, maji chumvi daah, jua kali sana, viwanja vyao vipo na mawe, chakula cha shida pale, wamezoea ugali na mboga za mlenda. Wadada wao sasa hata kupika hawajui, wazuri ila hawana matunzo kabisa yaani afu washamba.
Wanyaturu na wanyiramba samahanini[emoji119][emoji119][emoji119] Sijui wachagga wanapataje pesa pale maana asimili 85% ya wafanyabiashara wa ule mkoa wakubwa ni wachagga tena wa kibosho wengi. Wazawa wengi wako kwenye alizeti na vitunguu.
Naamini ipo mikoa mingine kama Singida walio ambulia zero pia. Serikali iangalie namna Singida nao wapate wamezungukwa na mikoa yenye tija wao wapo kati wanafyta mikia.
Wewe umewahi ishi wapi pakakuchosha, yaani hukupata chochote.
[emoji23][emoji23][emoji23]Lkn si ni Ukweli?Ahsante kwa kutunanga mkuu
Daaah walio toboa kwenye huo mkoa hongereni. Daah mikoa mingine utasema upo KENYA siyo Tanzania.
Licha ya ugumu wa pesa hali ya hewa pia haikunifurahisha upepo mkali, maji chumvi daah, jua kali sana, viwanja vyao vipo na mawe, chakula cha shida pale, wamezoea ugali na mboga za mlenda. Wadada wao sasa hata kupika hawajui, wazuri ila hawana matunzo kabisa yaani afu washamba.
Wanyaturu na wanyiramba samahanini🙌🙌🙌 Sijui wachagga wanapataje pesa pale maana asimili 85% ya wafanyabiashara wa ule mkoa wakubwa ni wachagga tena wa kibosho wengi. Wazawa wengi wako kwenye alizeti na vitunguu.
Naamini ipo mikoa mingine kama Singida walio ambulia zero pia. Serikali iangalie namna Singida nao wapate wamezungukwa na mikoa yenye tija wao wapo kati wanafyta mikia.
Wewe umewahi ishi wapi pakakuchosha, yaani hukupata chochote.
Mkoa Mzima ni Watoto wa mashekhe.Mm nikisafiri nikilala singida hata club ya kupotezea mawazo usiku sijawahi ona
Wewe utakuwa umepata za uso na kisha umekuja kuchafua watu huku..Daaah walio toboa kwenye huo mkoa hongereni. Daah mikoa mingine utasema upo KENYA siyo Tanzania.
Licha ya ugumu wa pesa hali ya hewa pia haikunifurahisha upepo mkali, maji chumvi daah, jua kali sana, viwanja vyao vipo na mawe, chakula cha shida pale, wamezoea ugali na mboga za mlenda. Wadada wao sasa hata kupika hawajui, wazuri ila hawana matunzo kabisa yaani afu washamba.
Wanyaturu na wanyiramba samahanini🙌🙌🙌 Sijui wachagga wanapataje pesa pale maana asimili 85% ya wafanyabiashara wa ule mkoa wakubwa ni wachagga tena wa kibosho wengi. Wazawa wengi wako kwenye alizeti na vitunguu.
Naamini ipo mikoa mingine kama Singida walio ambulia zero pia. Serikali iangalie namna Singida nao wapate wamezungukwa na mikoa yenye tija wao wapo kati wanafyta mikia.
Wewe umewahi ishi wapi pakakuchosha, yaani hukupata chochote.
Dodoma unaisingizia labda kama ushindani umekutoa kwenye game..Singida na Dodoma ni kulwa na doto.
Club zipo hadi wauzaji wapo sa sijui unasemea singida ya mwaka gani, kuna rhode, kirima, Serengeti, nyokaa lounge hizo ni baadhi tu ya clubmashekhe
Waarabu wangekata tamaa kwa lile jangwa leo hii kungekuwa na Dubai. Wewe ni mfano halisi wa akili zetu waafrika. Akili zetu zinaona matatizo tu ndo maana tunaenda sana kwa waganga na viongozi wa dini kutaka miujizaMimi nilifika manyoni hapakunivutis kwakweli Ile Hali ya kijangwa jangwa Big NOO kwa kweli.
Sijui wenyewe wanaishiji kule.
Mimi nimeishi dodoma maisha ni ghali kama Dar ila sasa pesa yenyewe hakuna, mzunguko ni mdogo sana.Dodoma unaisingizia labda kama ushindani umekutoa kwenye game..
Mda mfupi nimekaa Dodoma nimegundua biashara ya maziwa fresh na mgando ni kama hakuna yaani Kila mgahawa hasa mtaani hakuna maziwa kabisa..
Mie mda mwingi Niko Sumbawanga na Mbeya ,kule biashara ya maziwa fresh na mgando inalipa sana na vilinge viko vingi so mtu akianzisha anaweza piga biashara..
Ni muhimu kuwahi Ili u make jina kabla wengine hawajakuiga
Pakavu kote huko uliko taja boss.kweli singida ni miongoni mwa mikoa migumu sana kiuchumi sababu haina mzao ya biashara mfano mpunga wafugaji pamba ufuta mbao nk hata hao wachaga wenye viduka pale wako hoi
mkuoa mwingine ni kagera tabora dodoma mrogoro mjini shinyanga mjini msoma na wilaya zake
Wewe upo dodoma sasa hivi au singida maana kote huko nimeishi, ila dodoma kibiashara panaamka, siyo sawa na singida japo walikuwa sawa tu.Dodoma unaisingizia labda kama ushindani umekutoa kwenye game..
Mda mfupi nimekaa Dodoma nimegundua biashara ya maziwa fresh na mgando ni kama hakuna yaani Kila mgahawa hasa mtaani hakuna maziwa kabisa..
Mie mda mwingi Niko Sumbawanga na Mbeya ,kule biashara ya maziwa fresh na mgando inalipa sana na vilinge viko vingi so mtu akianzisha anaweza piga biashara..
Ni muhimu kuwahi Ili u make jina kabla wengine hawajakuiga
Nilikwenda singida Nina bajaji mbili tvs pmj na kirikuu namba d niliondoka na kirikuu tu vingenvyo ningejinyonga kbsa [emoji41]Daaah walio toboa kwenye huo mkoa hongereni. Daah mikoa mingine utasema upo KENYA siyo Tanzania.
Licha ya ugumu wa pesa hali ya hewa pia haikunifurahisha upepo mkali, maji chumvi daah, jua kali sana, viwanja vyao vipo na mawe, chakula cha shida pale, wamezoea ugali na mboga za mlenda. Wadada wao sasa hata kupika hawajui, wazuri ila hawana matunzo kabisa yaani afu washamba.
Wanyaturu na wanyiramba samahanini[emoji119][emoji119][emoji119] Sijui wachagga wanapataje pesa pale maana asimili 85% ya wafanyabiashara wa ule mkoa wakubwa ni wachagga tena wa kibosho wengi. Wazawa wengi wako kwenye alizeti na vitunguu.
Naamini ipo mikoa mingine kama Singida walio ambulia zero pia. Serikali iangalie namna Singida nao wapate wamezungukwa na mikoa yenye tija wao wapo kati wanafyta mikia.
Wewe umewahi ishi wapi pakakuchosha, yaani hukupata chochote.
KIRIMA pekee ndiyo Club nzuri singida. Pia nje ya town kuna Sky way, club za wachagga wa kibosho......Club zipo hadi wauzaji wapo sa sijui unasemea singida ya mwaka gani, kuna rhode, kirima, Serengeti, nyokaa lounge hizo ni baadhi tu ya club