Hamna mkoa nimewahi kwama kwenye utafutaji kama Singida

Kuna mikoa migumu sana kiutafutaji hususani ile ambayo imekaliwa na wazawa kwa wingi mfano Lindi Singida nk ogopa unaenda mkoa unakuta wazawa wanajadili huyu atakuwa ni kabila fulani mikoa ya kiutafutaji inajulikana mkuu Dar, Mwanza, Mbeya ila Arusha sio sana.
Mbeya hapan Kuna waking wengi mno Arusha is best uwe na pesa ndefu tu unaenyoy kuwepo Arusha

Bei ya viwanja IPO juu kuliko mkoa wowte Tanzania

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Umekaa singida hujanywa maji mazuri dogo ongea na watu vizuri maji yapo safi tena kama ya dukani vile. Na ukiona wenzako wanatoboa ww umeshindwa usijiulize sana jua kwamba huna ustaarabu wa pesa.

Nikisema ongea na watu vizuri ni swala pana iweje ukae singida ukose totoz zenye kutoa mahaba na kujua kuhudumia mwanaume.

Itakua ww ndio tatizo usiwalaumu wanyaturu wala wanyiramba
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana kwenye hii comment mpaka nimepaliwa maji nilikuwa nakunywa, sasa wanaume wa huko kwanza hawafanyi kazi wanalelewa, wanawake wao wakiniona wananiita handsome mangi 😅😅😅😅
 
Nilikwenda singida Nina bajaji mbili tvs pmj na kirikuu namba d niliondoka na kirikuu tu vingenvyo ningejinyonga kbsa [emoji41]

Nilianza biasha nzuri tu tena nikaleta na mrejesho huku [emoji23] juu ya biashara inavyo performance laula la kwata sijamaliza hta miaezi miwili bishara nilirekodi loss ya hatari sijaka sawa nikafunga biashra Kisha nibaki na babji aloo kill siku mm na police au Bajaj kupinduka nilikimbia kusiko julikana Hadi leo nimevitelekeza vyombo vyangu vya kazi kule
Kuna uchawi singida siyo mchezo unapiga jujuu unabaki kuwanenepeaha wanyaturu tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unaona watu tunavyo lia huku yaani ni balaa zito. Pole mkuu.
 
Hahaaa mkoa umepigika km uko jirani na somalia maaana hapavutii ila sema kuna totoz ...za maana Mungu hawezi akawanyima vyote ..kawabariki na totoz ila km mtafutaji huo mkoa unataka wenye roho ngumu km musolini
😅😅😅😅 Totorito nyeupeeeee sema nyingi daaah naziangaliaga tu, yaani daah.
 
Daaah walio toboa kwenye huo mkoa hongereni. Daah mikoa mingine utasema upo KENYA siyo Tanzania.

Licha ya ugumu wa pesa hali ya hewa pia haikunifurahisha upepo mkali, maji chumvi daah, jua kali sana, viwanja vyao vipo na mawe, chakula cha shida pale, wamezoea ugali na mboga za mlenda. Wadada wao sasa hata kupika hawajui, wazuri ila hawana matunzo kabisa yaani afu washamba.

Wanyaturu na wanyiramba samahanini[emoji119][emoji119][emoji119] Sijui wachagga wanapataje pesa pale maana asimili 85% ya wafanyabiashara wa ule mkoa wakubwa ni wachagga tena wa kibosho wengi. Wazawa wengi wako kwenye alizeti na vitunguu.

Naamini ipo mikoa mingine kama Singida walio ambulia zero pia. Serikali iangalie namna Singida nao wapate wamezungukwa na mikoa yenye tija wao wapo kati wanafyta mikia.

Wewe umewahi ishi wapi pakakuchosha, yaani hukupata chochote.
Kama na wewe hauioni future ya kutoboa Mbeya, tuko pamoja.
 
Umeandika pumba. Sehemu yoyote mtu unafanikiwa ukijua panahitajika nini. Tatizo ni kukurupuka. Ukishaambiwa Singida viatu vinalipa unakimbilia huko badala ya kufanya utafiti wako binafsi. Kuna watu wako huko Namanyere wanatajirika... wengine wako huko Kasanga, Kala, Wampembe, na Kipwa wanajipigia tu hela. Hizo sehemu hata barabara kufika ni shida ila kuna matajiri. Wewe jipange upya. Singida sio pabaya kiasi hicho.
Bila shaka wee umeuza Sola kule Hadi wampembe umefika wee Ni kiboko [emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Weeee Arusha njoo na lugha ya kingereza tu ni pesa tyupu juzi katika moja na 2 nimekutana na wazungu 8 hawajui stend kuu waniuliza nikawapeleka mpaka ndani ya gari la kwenda Moshi palepale nikatandikwa dola 30 sasa utasemaje mkoa mgumu kutafuta watu wapo siriaz na pesa ipo kibao ni maujanja yako tu.
Arusha is best

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mbeya hapan Kuna waking wengi mno Arusha is best uwe na pesa ndefu tu unaenyoy kuwepo Arusha

Bei ya viwanja IPO juu kuliko mkoa wowte Tanzania

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
mkuu ukisema pesa ndefu unamaanisha shilingi ngapi??
inamaana kufanya biashara Arusha inahitaji mtaji mkubwa kuliko kufanya biashara Dar??
nipe ufafanuzi mkuu
kuhusu bei ya viwanja kua juu siwezi kupinga sana maana sehemu ambazo ni za kitalii maeneo huwa yana gharama sana rejea zanzibar Moshi hata kwa majirani pale Nairobi
 
Dodoma unaisingizia labda kama ushindani umekutoa kwenye game..

Mda mfupi nimekaa Dodoma nimegundua biashara ya maziwa fresh na mgando ni kama hakuna yaani Kila mgahawa hasa mtaani hakuna maziwa kabisa..

Mie mda mwingi Niko Sumbawanga na Mbeya ,kule biashara ya maziwa fresh na mgando inalipa sana na vilinge viko vingi so mtu akianzisha anaweza piga biashara..

Ni muhimu kuwahi Ili u make jina kabla wengine hawajakuiga
Broo wee bil shaka wee Ni wakala wa Sola upo sumbawamga na mbeya ,[emoji1787][emoji1787] kote huko Ni majimbo yangu uniambii lolote pande hzo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Unaona watu tunavyo lia huku yaani ni balaa zito. Pole mkuu.
Mm mtu hanidanganyi singida Tena jusi the nilikuepo kufata vitu vyangu fln nikapita kuwa watu hai wanashanga wanasema Dr mbona umenenep HV ..jamaaa ananishawishi nifungue duka la pembejeo nikamuambia mm cjawai kwenda kwa waganga ova

Mnk nn nikifungua nije Tena kupamban na waganga waniweke mjini

Mm kuhusu wanawake Wala siyo ishu sna kwani wanawake wao wamekonda sna na kuwa wakavu wengi na mm kuoa wanyaturu a big no

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Dodoma unaisingizia labda kama ushindani umekutoa kwenye game..

Mda mfupi nimekaa Dodoma nimegundua biashara ya maziwa fresh na mgando ni kama hakuna yaani Kila mgahawa hasa mtaani hakuna maziwa kabisa..

Mie mda mwingi Niko Sumbawanga na Mbeya ,kule biashara ya maziwa fresh na mgando inalipa sana na vilinge viko vingi so mtu akianzisha anaweza piga biashara..

Ni muhimu kuwahi Ili u make jina kabla wengine hawajakuiga
Hii biashara kwa Mbeya ni superb. Especially ukiwa maeneo ya Rungwe maana kuna kiwanda cha maziwa
 
mkuu ukisema pesa ndefu unamaanisha shilingi ngapi??
inamaana kufanya biashara Arusha inahitaji mtaji mkubwa kuliko kufanya biashara Dar??
nipe ufafanuzi mkuu
kuhusu bei ya viwanja kua juu siwezi kupinga sana maana sehemu ambazo ni za kitalii maeneo huwa yana gharama sana rejea zanzibar Moshi hata kwa majirani pale Nairobi
Nitakuja na Uzi kueleze jinsi mjin au jj kulivyo kuitafutaji na Kama mtu unapesa ndefu wekeza ktk jiji la Arusha hkn hasara utatecodi pale

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nilikwenda singida Nina bajaji mbili tvs pmj na kirikuu namba d niliondoka na kirikuu tu vingenvyo ningejinyonga kbsa [emoji41]

Nilianza biasha nzuri tu tena nikaleta na mrejesho huku [emoji23] juu ya biashara inavyo performance laula la kwata sijamaliza hta miaezi miwili bishara nilirekodi loss ya hatari sijaka sawa nikafunga biashra Kisha nibaki na babji aloo kill siku mm na police au Bajaj kupinduka nilikimbia kusiko julikana Hadi leo nimevitelekeza vyombo vyangu vya kazi kule
Kuna uchawi singida siyo mchezo unapiga jujuu unabaki kuwanenepeaha wanyaturu tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mo

bile app
te teh teh daah nmecheka sana nusu mbav zichomoke we jamaa
 
Back
Top Bottom