Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Katika nchi ambayo raia wake ni manyumbu ni tanzania yaani sisi ni waoga sio mchezo tena kama Mimi ndio muoga hatari hatuwezi kuingia barabarani Ili tufe yaani fikiria unaingia barabarani unapambana na askari unachezea kichapo halafu unakufa Ili wachaga wale mema ya nchi aisee Hilo swala hatuwezi na Leo tumedhihirisha kwamba sisi watanzania ni waoga sana na tunafurahia uoga wetu milele ccm ituongoze sisi tutawatii tu maana sisi ni waoga