Watanzani sio waoga sema ni wanafiki sijapata kuona.
Sema vipi acha tu kila mtu afanye mambo yake kuna mda unatamani mambo yawe magumu yani kila kitu kigome ndio akili zirudi tu.
Sasa leo askari anakamata watu tu ata ambao wako kwenye michakato yao.Kisa nini? Wajuzi wa mambo wanasema katiba imesema AMINA watu ku-demostrate peacfully.Sasa ukiwakamata nani anakuwa kavunja katiba? Police au raia wanaotimiza mlichosema AMINA kama taifa.Kama vipi katiba itoke uwe utawala wa manyani sasa mwenye nguvu ndio awe na haki
HOVYO KABISA!