HAMNA MTU MUOGA KAMA MTANZANIA MIMI MWENYEWE nI MUOGA

Manyumbu??
 
jali maisha yako kabla hujajaliwa
 
Watanzani sio waoga sema ni wanafiki sijapata kuona.

Sema vipi acha tu kila mtu afanye mambo yake kuna mda unatamani mambo yawe magumu yani kila kitu kigome ndio akili zirudi tu.

Sasa leo askari anakamata watu tu ata ambao wako kwenye michakato yao.Kisa nini? Wajuzi wa mambo wanasema katiba imesema AMINA watu ku-demostrate peacfully.Sasa ukiwakamata nani anakuwa kavunja katiba? Police au raia wanaotimiza mlichosema AMINA kama taifa.Kama vipi katiba itoke uwe utawala wa manyani sasa mwenye nguvu ndio awe na haki

HOVYO KABISA!
 
Wewe watanzania waoga wewe mwenyewe ni muoga na Mimi ni muoga pia
 
Wewe watanzania waoga wewe mwenyewe ni muoga na Mimi ni muoga pia
Mimi sio muoga hivyo man sema unafiki wa wabongo ndio umenichosha.Hivi askari police wao katiba wanasoma, hawasomi? Au ni kutii amri tu.

Unajua kuna vitu unajaribu kuvielewa lakini kuna mda ubongo unakwama kabisa.Hivi logic gani inatumika kukamata watu au kuparade askari wote hivyo?
 
kukiwa na wapinzani kutoka nje ya tanzania nistueni nichukue kadi ila hawa leo we unang'olewa meno na fanya fujo tuone kesho aliekwambieni muandamane yuko ikulu anakunywa juisi au yuko mbele ya kamera anarudisha kadi ya chadema NB:sina mwili wa maandamano mimi mafala nyinyi.
 
Hahaha 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…