BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Fafanua Tanganyika italetaje machafuko hayo?CHADEMA na wapumbavu wengine wanaoongelea Tanganyika ndo watakaoleta hayo machafuko. Tuwakatae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua Tanganyika italetaje machafuko hayo?CHADEMA na wapumbavu wengine wanaoongelea Tanganyika ndo watakaoleta hayo machafuko. Tuwakatae
Wewe unachohofia ni moshi tu na wachaga tutakavyoendelea.Ukabila ni sumu sana , tena hatari sana kama siku Tanzania ikiweka serikali za majimbo basi ijiandae kwa ukabila.
Hapa TZ ni wapuuzi wachache ndio wakabila hata baadhi ya nyuzi utawaona kujiona bora ya wenzao ..
Kwahyo bora unafiki huu tulionao ama ni bora tuache huu unafiki ili tuwe kama hao Ethiopia!? Ni dhahiri shairi kbs unachuki na Taifa lako.Sisi ni wanafiki sio wastaarabu, Tanzania ukabila upo sana, na udini pia upo.
Kama ilivyo kwa watu wengine sio kwa watu wote pia huo ukabila na udini.
Tanzania yapo maeneo ajira zinatolewa Kwa ukabila na udini, hutaambiwa ila kwa siri sana ndio Iko hivyo.
Hao wengine wakifanikiwa kulimaliza maana yake wanakuwa wamemaliza kabisa na sio vinginevyo, huku bado tupo kwenye stage za mwanzo za ukabila na tukifikia kwenye peak ndio tutakuwa kama hao.
Kamuulize mamakoFafanua Tanganyika italetaje machafuko hayo?
Wakati hamtopata kazi sehemu nyingine zaidi ya kwenu ili mfanye utapeli vizuri ...Waulize kenya kweny ajira kuna ubaguzi baadhi ya majimboWewe unachohofia ni moshi tu na wachaga tutakavyoendelea.
Ushawahi kutembea wwe? Nenda Kenya ukaone kwanza .....Majimbo yanabana kama pakiwa na majimbo watu wanatunga sheria ndogo ndogo tofauti , wanaweza kuzuia watu kadhaa wasjiajiriwe zaid ya wao kama zanzibar .Nani kakudanganya kuwa serikali za Majimbo zitaleta tribalism?
Acha kuongeza upumbavu. Tanzania hakuna ukabila.
Kwahyo bora unafiki huu tulionao ama ni bora tuache huu unafiki ili tuwe kama hao Ethiopia!? Ni dhahiri shairi kbs unachuki na Taifa lako.
Yeah sure...daah!Hell on earth
Upo huko mkuu?Huku kufa watu 400 au 300 katika vita ya kikabila ni kawaida
acha bas us****ge ..mbona unalzmisha vitu ambavyo havipo unaujua ukabila wewe na udini..Sisi ni wanafiki sio wastaarabu, Tanzania ukabila upo sana, na udini pia upo.
Kama ilivyo kwa watu wengine sio kwa watu wote pia huo ukabila na udini.
Tanzania yapo maeneo ajira zinatolewa Kwa ukabila na udini, hutaambiwa ila kwa siri sana ndio Iko hivyo.
Hao wengine wakifanikiwa kulimaliza maana yake wanakuwa wamemaliza kabisa na sio vinginevyo, huku bado tupo kwenye stage za mwanzo za ukabila na tukifikia kwenye peak ndio tutakuwa kama hao.
hauko serious rastaSisi ni wanafiki sio wastaarabu, Tanzania ukabila upo sana, na udini pia upo.
Kama ilivyo kwa watu wengine sio kwa watu wote pia huo ukabila na udini.
Tanzania yapo maeneo ajira zinatolewa Kwa ukabila na udini, hutaambiwa ila kwa siri sana ndio Iko hivyo.
Hao wengine wakifanikiwa kulimaliza maana yake wanakuwa wamemaliza kabisa na sio vinginevyo, huku bado tupo kwenye stage za mwanzo za ukabila na tukifikia kwenye peak ndio tutakuwa kama hao.
Mkuu Tz hakuna ukabila asee. Nenda Kenya kama utakuta mjaruo kamujari mwingine utakuta full PPE ni kabila Moja Hadi mfanya usafiSisi ukabila wetu unahusika kwenye utani tu basi
Watanzania tumestaarabika sana kanda ya wahabeshi sio wastaarabu ndio maana yanagombana gombana
Tutajie nchi ya Afrika yenye serikali za majimbo isiyo na ukabila na ukanda.Nani kakudanganya kuwa serikali za Majimbo zitaleta tribalism?
Aisee, hivi unajua kuwa hata ukiwachukua watu weusi kutoka duniani kote na uwahesabu kuwa waafrika bado idadi yetu itakuwa ni chini ya 15% ya world population? Unajua kuwa ukiwahesabu tu wahindi na wachina tayari watakaribia idadi ya waafrika wote? Stop exaggeration please.VIONGOZI NA MISIMAMO YA UBINAFSI NDIYO SHIDA YA AFRIKA, TUNAPO UANA WAZUNGU HUFURAHI KWELI, MAANA TUNAJIPUNGUZA WENYEWE, WAAFRICA NI TISHIO SANA KWA ULIMWENGUNI HUU KWANI HUENDA BY 2060 TUKAJAA KILA PAHALA DUNIANI NA KIZAZI CHA WEUPE KIKAWA FINYU SANA.
hauko serious rasta
watu walikua wanapeana michongo kiundugu , ni obvious ni obvious watashea kabila au dini ila usitake kuaminisha umma kwamba ni hali ya hatari kama kenya au ethiopia , angalia tu hata uchaguz wetu mtu hapigiwi kura sababu ya kabila lake au dini yake unless unaongelea visiwani huku bara ukabila na udini upo kiwango kidogo mnoHahaha wengi mtaona hivi lakini ndio ukweli wenyewe huo.
Watanzania hawa hawa miaka fulani walilalamikia TRA kumejaa wachaga, CRDB kumejaa wachaga, au mnasahau pale Uhamiaji enzi za Unyakyusa bosi alivyokuwa mnyaki, au mnasahau pale idarani bosi alivyokuwa marehemu yule mnyaki.
Au mnasahau JPM tulilalamikia wasukuma kwenye mifumo mpaka tukawaita sukuma gang
Hizi zote ndio red flags kuelekea walipo Ethiopia, Ethiopia hawakufika huko ghafla bin- vu usiku mmoja kulikuwa na stages, shida yetu ni unafiki.
Ukienda Rwanda leo hii watakwambia wamemaliza suala la ukabila lakini sio kweli, zipo red flags nyingi zinazoashiria tatizo lipo ni suala la muda tu.