Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

QURAN 9: 34

94. "Enyi mlio amini! Hakika wengi katika makuhani na wamonaki wanakula mali za watu kwa batili na wanazuilia Njia ya Mwenyezi Mungu. Na wanao kusanya dhahabu na fedha, wala hawazitumii katika Njia ya Mwenyezi Mungu, wape habari ya adhabu iliyo chungu."



 
Japo hizi mada zimekua nyingi mpaka zinaogopesha.

Ni kwamba watu wameanza kujitambua au ni mwendelezo wa yule shetani kuvuruga waumini?
Hapna Boss inafikirisha snaa ivi umuombe Mt Nani sijui akuombeee wakati labda babu zako walifariki au Baba au mama akuombee kuna tofauti gani sasa na matimbiko kama sis wachaga kuomba babu zetu watupe baraka Kwa kuchinja mbuzi kama sadaka na kunywa mbege wao ni haki sisi siyo haki
 
Wakristo wamepata mtihani mkubwa sana.

Kingine katika huu uzi naona wameguswa Wakristo lakini wanahamisha mada kwa Waislamu. Ushauri wangu wangelimaliza hili kwanza kisha waje kwetu sisi Waislamu. Hili tatizo kubwa.
 
Lawama zote ziende kwa ibirisi shetani
 
Inalingana tu na kupewa BIKRA 72 peponi na mito ya pombe za kila aina unajichotea tu.
Ungejikita kwenye hii mada ingekuwa jambo jema sana.

Ngoja nikusaidie. Allah aliyotufunulia na kutujuza ni machache sana kuliko ambayo hajatufunulia hasa katika malipo ya waja wema.

Kwahiyo malipo ya Wanawake wema anayajua Allah, ila wanawake wa peponi watakuwa bora zaidi ya hao mabikra tutakao pewa huko peponi. Mola wetu atujaalie pepo ya juu kabisa.

Kuna muda mnatakiwa muwe mnatumia akili zaidi ya mihemko. Someni,kisha mtafakari muujue ukweli.
 
SIO KWELI,

Utapeli upo kwenye dini zote
Hili halipingiki ila ukweli lazima usemwe, Wakristo wanatapeliwa sana mpaka mtu unajiuliza hawa akilo hawana ?

Sasa mnapoambiwa ukweli wa jambo msichukulie juu juu fatilieni kisha mchukue hatua, musaidiane Wakristo kutoana kwenye huo utapeli. Aisee mmezidi kutapeliwa kirahisi.

Kingine nacho staajabu ni hili la Zumaridi, achilia mbali mengine yaani Mwanamke anawaburuza buruza watoto wa kiume ? Aisee hii imevuka mpaka.
 
Wakristo wamepata mtihani mkubwa sana.

Kingine katika huu uzi naona wameguswa Wakristo lakini wanahamisha mada kwa Waislamu. Ushauri wangu wangelimaliza hili kwanza kisha waje kwetu sisi Waislamu. Hili tatizo kubwa.
Freedom of speech
 
Swadakta
 
Freedom of speech
Uhuru una mipaka yake na hakuna kisicho kuwa na mpaka. Kuhamisha kwao mada hakuondoi ukweli wa kuwa kwao wanatapeliwa sana tena kirahisi mno, hili ni tatizo kubwa sana, japokuwa wanachukulia poa. Miongoni mwa athari ni kutokuyafanyia kazi maandiko yao mwisho wa siku Biblia itakuwa haisomwi wala kufanyiwa kazi na tena Wakristo walivyo kuwa si wasomaji wa dini yao basi madhara yanazidi kuwa makubwa.

Inabidi wasaidiane, wasijilinganishe na sisi Waislamu, sisi dini yetu ina misingi imara sana tofuati na dini yao.

Endeleeni kuwahimiza Wakristo, wasaidiane hali imekuwa mbaua sana.
 
Mada inahamishwa kwa kukimbia ukweli why
Halafu wenyewe wanahisi wanatatua tatizo. Huu ukweli wanatakiwa kuufanyia kazi, aisee hawa watu wanatapelika kirahisi sana, mpaka unajiuliza hata kuona hawaoni au hawahoji ? Kingine ajabu mpaka Wanaume wa huko aisee wanapelekwa pelekwa na mtoto wa kike, wakati sisi wanaume ndiyo wasimamizi wa Wanawake.
 
Kwa Wakristo kuna uhuru mkubwa sana, hakuna kutishana kama pande nyingine.
 
Kwa Wakristo kuna uhuru mkubwa sana, hakuna kutishana kama pande nyingine.
Huku hakuna kutishana bali tunaelezana ukweli.

Kutokuelezana ukweli katika Ukristo ndiyo maana mmebaki kuwa wajinga na kuwaogopa viongozi kama miungu wenu. Hili litawagharimu sana, leo katika Ukristo kila mtu anafanya analo taka na mmekaa kimya. Shida ni kuwa Ukristo hakuuacha Yesu hii dini imezushwa ndiyo maana hata Injili zote zimeandikwa si kutokana na kile kilicho nukuliwa moja kwa moja toka kwa Yesu.

Yaani msijilinganishe na sisi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…