inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mathayo 26:29Ahera zinaenda roho siyo miili, ya kula na kunywa yanaishia hapahapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mathayo 26:29Ahera zinaenda roho siyo miili, ya kula na kunywa yanaishia hapahapa.
Mbona umejiwahi!!!...madhara ya pombe siyo kiafya tu hata kijamiiNani kakudanganya pombe haina madhara wewe mfia dini?
Kisukari, kuugua ini hakutokani na pombe [emoji848][emoji28]
Honestly hakuna adhabu ya kaburi,huko ni kumuadhibu mtu kabla ya hukumu,kitu ambacho Qur'an haielezi hivyo....Qur'an inasema watu watakapofufuliwa watauliza Nani katuamsha malaloni kwetu!?...Ila haifai kuwatishia watu na adhabu ya kaburi ili kupata utii wao.
Kwamba Mungu alipigwa na kudhalilishwa msalabani?Inalingana tu na kupewa BIKRA 72 peponi na mito ya pombe za kila aina unajichotea tu.
Ndiyomaana nikakujibu hivyo sababu ulijitetea kuwa maisha ya huko peponi ni tofauti ndipo nikakukatalia kwa huo ushahidi wa madhara ya pombeMbona umejiwahi!!!...madhara ya pombe siyo kiafya tu hata kijamii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu akifa shahidi atapewa wanawake BIKRA 72 wenye matiti yaliyosimama na macho ya duara.
Je mwanamke atapewa nini?
Ukraine waafrika wananyanyapaliwa.wale mapadri?View attachment 2138109
Sijajua ni kwanini Wakristo wamekuwa wakisadikishwa na kuaminishwa na wao haraka haraka huamini na mwishowa siku hujikuta wakiwa mateka wa kifikra.
Visa vingi sana tumeviona na tumevishuhudia vya watu kuuziwa kijifuko cha chumvi tu hii ya dukani kwa shilingi laki moja huku wakisadikishwa kuwa inaleta utajiri na kumfukuzia mbali pepo mchafu alitaye ufukara.
Tumeona watu wakisadikishwa kuwa ukipada mbegu utacuna lolote ulitakalo, mathalani, unataka kuwa Mkurugenzi wa bandari, au unataka kuwa daktari mkuu na wewe elimu yako ulikomea darasa la nne A, basi panda mbegu,inenee na wewe utavuna jambo ulitakalo.
Wakristo wameaminishwa kuwa kina St. John, St. Peters, St. Richard na wazungu wengine waliokufa zamani ndio wanaweza kutuombea.
Mizimu ya kizungu, wala haikujui je inawezaje kukuombea? Mizimu ambayo haina hata uhusiano na wewe?
Omba kupitia mizimu ya kwenu, achana na hao wahuni wa kimagharibi, wanachotaka kutoka kwako ni sadaka tu.
Wanahubiri upendo na hawana upendo, hata marehemu Benjamin Williams Mkapa alichana na upadre baada ya kuona huko kwenye mission kumejaa gjiriba, chuki , ubaguzi na upendo haukuwepo.
Mapadre wazungu walikuwa wakiwanyanyapaa na kuwaona mapadre weusi kama takataka halafu wakipanda madhanahuni wanajidai wanahubiri upendo.
Hizi dini zichunguzeni kwa kina, kisha zirekebiswe huenda zikawa bora kidogo
🤣😅Ukraine waafrika wananyanyapaliwa.wale mapadri?
Afrika wananyanyapaliwa kila kona ya dunia uzunguni,uhindini,arabuni nk.
Wamarekani weusi wanawanyanyapaa waafrika kuona wamarekani weusi ni bora zaid ya waafrika wengine.
Watanzania wenyewewe mnanyanyaliana.
Hivyo bikra 72 umetoa kifungu gani? Kuhusu pombe hata biblia imezungumzia siku ya mwisho kutagongwa vyombo
Mathayo 26:29 BHN
Nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.”
Hapa mada kwa nini mnatapeliwa kirahisi? Usihamishe mada
We Wakala wa shetwani shindwa kwa jina la Yesu.Hivyo bikra 72 umetoa kifungu gani? Kuhusu pombe hata biblia imezungumzia siku ya mwisho kutagongwa vyombo
Mathayo 26:29 BHN
Nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.”
Hapa mada kwa nini mnatapeliwa kirahisi? Usihamishe mada
Kuna wale wanaoaminishwa wakijilipua na mabomu na kuua watu wengi,wanaenda peponi na huko peponi watapewa zawadi ya mabinti bikra 70!!!
Sijajua ni kwanini Wakristo wamekuwa wakisadikishwa na kuaminishwa na wao haraka haraka huamini na mwishowa siku hujikuta wakiwa mateka wa kifikra.
Visa vingi sana tumeviona na tumevishuhudia vya watu kuuziwa kijifuko cha chumvi tu hii ya dukani kwa shilingi laki moja huku wakisadikishwa kuwa inaleta utajiri na kumfukuzia mbali pepo mchafu alitaye ufukara.
Tumeona watu wakisadikishwa kuwa ukipada mbegu utacuna lolote ulitakalo, mathalani, unataka kuwa Mkurugenzi wa bandari, au unataka kuwa daktari mkuu na wewe elimu yako ulikomea darasa la nne A, basi panda mbegu,inenee na wewe utavuna jambo ulitakalo.
Wakristo wameaminishwa kuwa kina St. John, St. Peters, St. Richard na wazungu wengine waliokufa zamani ndio wanaweza kutuombea.
Mizimu ya kizungu, wala haikujui je inawezaje kukuombea? Mizimu ambayo haina hata uhusiano na wewe?
Omba kupitia mizimu ya kwenu, achana na hao wahuni wa kimagharibi, wanachotaka kutoka kwako ni sadaka tu.
Wanahubiri upendo na hawana upendo, hata marehemu Benjamin Williams Mkapa alichana na upadre baada ya kuona huko kwenye mission kumejaa gjiriba, chuki , ubaguzi na upendo haukuwepo.
Mapadre wazungu walikuwa wakiwanyanyapaa na kuwaona mapadre weusi kama takataka halafu wakipanda madhanahuni wanajidai wanahubiri upendo.
Hizi dini zichunguzeni kwa kina, kisha zirekebiswe huenda zikawa bora kidogo
Haha haha hahahKuna wale wanaoaminishwa wakijilipua na mabomu na kuua watu wengi,wanaenda peponi na huko peponi watapewa zawadi ya mabinti bikra 70!!!
Wote ni Sawa tu,Swala la kudanganyika halina dini.
Yesu alikuwa anagonga mvunyo kama kawaida, ndio maana hata muujiza wake wa kwanza ulikuwa kutengeneza gambe la upakoWe Wakala wa shetwani shindwa kwa jina la Yesu.
Hiyo ni damu wala si pombe, usirudie tena kujizima data kichwani mwako.
MATHAYO 26:26-29
"Nao walipokuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu
Akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, akisema, Nyweni nyote katika hiki;
kwa maana hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi.
Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu sasa uzao huu wa mzabibu, hata siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu."
Divai ni tofauti na mvinyo.Yesu alikuwa anagonga mvunyo kama kawaida, ndio maana hata muujiza wake wa kwanza ulikuwa kutengeneza gambe la upako
OK, sawa. Divai ni nini na mvinyo ni nini?Divai ni tofauti na mvinyo.
Fungua uzi mwingine nianze kukuelimisha upya maana ni nnje ya mada.OK, sawa. Divai ni nini na mvinyo ni nini?
Mwanzo 9:20-23Divai ni tofauti na mvinyo.
Divai ni tofauti na mvinyo.