Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Unadhani kwanini Mungu kakuagiza uwe na kiasi kwa kila jambo?Mwanzo 9:20-23
[20]Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;
And Noah began to be an husbandman, and he planted a vineyard:
[21]akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
And he drank of the wine, and was drunken; and he was uncovered within his tent.
[22]Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.
And Ham, the father of Canaan, saw the nakedness of his father, and told his two brethren without.
[23]Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.
And Shem and Japheth took a garment, and laid it upon both their shoulders, and went backward, and covered the nakedness of their father; and their faces were backward, and they saw not their father's nakedness.
Au unadhani ukila kupita kiasi huwezi kupata madhara?
Hivyo basi hata ukinywa divai, juisi, n.k lazima uathirike sababu hujatumia hicho kinywaji kwa kiwango cha afya isipokuwa umezidisha tokana na tamaa zako binafsi.