The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Genius Harmorapa but not evil [emoji1550]Msanii wa muziki Tanzania ndugu Hamorapa amefanikiwa kumaliza masomo yake shahada ya 3 ya elimu ya juu kutoka chuo kikuu cha Mzumbe.
Msikilize hapa chini.
Soon will be titled Dr. HarmorapaHongera sana ndugu Hamorapa kuingia kwenye ulimwengu wa kisomi.
Wasanii wanapaswa kuiga nyendo za Hamorapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anastahili. Sahivi kila Mtanzania ni daktari wa heshima. Hongera sana Dr Hamorapa (BA, Bsc). [emoji16]
The same clique with Dr Msukuma KashekuSoon will be titled Dr. Harmorapa
Itakuwa degree za MirembeSafi sana
Tena degree ya mzumbe
Ova