Hamorapa afanikiwa kumaliza digrii yake ya tatu kutoka Mzumbe University

Hamorapa afanikiwa kumaliza digrii yake ya tatu kutoka Mzumbe University

Anastahili. Sahivi kila Mtanzania ni daktari wa heshima. Hongera sana Dr Hamorapa (BA, Bsc). 😁
Kweli kabisa tuache kuitana Boss, tajiri, mwana, Dogo....... Tuitane Dr au Prof.
Sababu cheo cha Mheshimiwa nawao wameona hakina maana bila kuanza na Dr.
Dr. Sang'udi
 
Lengo lake limetimia. Alitaka kupata Kiki na kaipata. Hawa ili kupata matangazo na show lazima uwe mjanja kutengeneza matukio ili uongelewe kama hivi yani.Wala simlaumu ndo kazi yake.
 
Back
Top Bottom