Kweli kabisa tuache kuitana Boss, tajiri, mwana, Dogo....... Tuitane Dr au Prof.Anastahili. Sahivi kila Mtanzania ni daktari wa heshima. Hongera sana Dr Hamorapa (BA, Bsc). π
Dr Kizaizai πKweli kabisa tuache kuitana Boss, tajiri, mwana, Dogo....... Tuitane Dr au Prof.
Sababu cheo cha Mheshimiwa nawao wameona hakina maana bila kuanza na Dr.
Dr. Sang'udi
Mambo mengine ni ya kijinga sanaMsanii wa muziki Tanzania ndugu Hamorapa amefanikiwa kumaliza masomo yake shahada ya 3 ya elimu ya juu kutoka chuo kikuu cha Mzumbe.
Msikilize hapa chini.
Kazi IPO π€£π€£π€£π€£π€£Hii nchi π³π³π³π³
Huu utopolo alianzisha Jiwe mwendazakeAnastahili. Sahivi kila Mtanzania ni daktari wa heshima. Hongera sana Dr Hamorapa (BA, Bsc). [emoji16]
Jiwe ndiye aliyeharibu akili za vijana wengi katika hii nchiHuu utopolo alianzisha Jiwe mwendazake
π π π anakwambia alikuwa anachukua EDUCATION, SCIENCE, ENGINEERINGMsanii wa muziki Tanzania ndugu Hamorapa amefanikiwa kumaliza masomo yake shahada ya 3 ya elimu ya juu kutoka chuo kikuu cha Mzumbe.
Msikilize hapa chini.