Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Bishoo kamkimbia kiboko yaoKiboko ya mabishoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bishoo kamkimbia kiboko yaoKiboko ya mabishoo
Kakufanya nini hadi umchukie?Simpendi hamorrap
Hata mie itachukua miaka kuja kusahau lile tukio la mguu wa kuku.Ila Harmorapa siji kumsahau.
Kutokuwa na kinyongo na MTU haina maana lazima muwe karibu kila mtu afanye maisha take atafute ridhiki kivyakeHahahaha
Kwani wangekuta kulikuwa na shida gani? Na harmonize si alisema yeye hana kinyongo na dogo? Japo EATV najua walizingua ila hata yeye kaonekana ana kaji unafik flan hivi
HahahahaKutokuwa na kinyongo na MTU haina maana lazima muwe karibu kila mtu afanye maisha take atafute ridhiki kivyake
Alichofanya harmonize ni vizuri kabisa haita mpunguzia chochoteHahahaha
Hapana hapo mayonaiz alikosea move kabsaa, inatakiwa washauri wake wamchane
Isnge muathiri chochote kama angekutana na harmorappa
Kazid kumpa kiki harmorappaAlichofanya harmonize ni vizuri kabisa haita mpunguzia chochote
Waliofeli no eatv
Ndo vizuri ili atafute ugali wake wa kila sikuKazid kumpa kiki harmorappa
Hahahaa, nasikia break ya kwanza alipigia Mtwara.... ama kweli mguu wa kuku noma sana...Ni hamonduki
Mm naona hata hawafananiHao jamaa wakapimwe DNA huenda ni ndugu
Sijui namchukia tuKakufanya nini hadi umchukie?
Hahahah!!Sijui namchukia tu
Kakufanyaje kwaniIla Harmorapa siji kumsahau.
Nilimpa papuchi hakunipa hela yngKakufanyaje kwani