Hamorapa live FNL EATV

Hamorapa live FNL EATV

harmorapa ni kiboko ya mabishoo na huyo mayoniase ni bishoo so ni haki yake kukimbia
[HASHTAG]#Harmorapa4mtv[/HASHTAG]
 
Kutokuwa na kinyongo na MTU haina maana lazima muwe karibu kila mtu afanye maisha take atafute ridhiki kivyake
Hahahaha
Hapana hapo mayonaiz alikosea move kabsaa, inatakiwa washauri wake wamchane
Isnge muathiri chochote kama angekutana na harmorappa
 
Hahahaha
Hapana hapo mayonaiz alikosea move kabsaa, inatakiwa washauri wake wamchane
Isnge muathiri chochote kama angekutana na harmorappa
Alichofanya harmonize ni vizuri kabisa haita mpunguzia chochote
Waliofeli no eatv
 
Sjawahi ona chamana alichowahi kufanya harmorapa labda alivyo kimbia bastola tu
 
Back
Top Bottom